Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,391
- 95,845
mie niko poa, leo nipo guard hp makapukuTuko salama Mtu chake...
Wewe?
Karibu sana Mtu chake...mie niko poa, leo nipo guard hp makapuku
karibu na ww,tulindeKaribu sana Mtu chake...
[emoji23]Ahsante..karibu na ww,tulinde
Si usikwende[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Basi na mimi sikwendi..
Hebu kakojoe ulale[emoji1787][emoji1787]Aisee ndiyo kusema kwamba nimepata baba mpya
Mie niko salama, ila sijui hao wengine[emoji1787][emoji1787]Leo nimeingia lindo,mtaa huu,mko salama
hahahaha[emoji23]Ahsante..
hahahaha,vzr km uko salama,natumaini hata hao wengine wako salamaMie niko salama, ila sijui hao wengine[emoji1787][emoji1787]
Hahaha lizarazu sijui yuko dunia gani sasa hiviZamani ulikuwa unamfungashia Virago Lizarau.[emoji23]Siku hizi sijui yuko wapi..
Ndiyo siku hizi nimeona utofauti wako kwenye mambo mengi sana...NIMEPENDA..
Nisiingilie vya wakubwa si etiHebu kakojoe ulale[emoji1787][emoji1787]
Ndio ndio.Nisiingilie vya wakubwa si eti
[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kweli..
Mwanzo nilikuwaga mpole
Sasa hivi nimekanya waya[emoji2]...Mweeh!!!
Hivi unaanzaje lakiniNafuta undugu na nyie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifa narithi magramu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Yupi huyoAtakuwa na yule babe wake kisirani mwenzie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wivu upi auntieWivu ni kidonda auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naikumbuka ile id[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilipigwaga ban nikafungua id nyingine badala nirudi mtulivu nikaliendeleza. Si wakaziunga nikarudi kwenye ban[emoji134][emoji134][emoji134]
Ikabidi nitulie tu ban iishe.
[emoji1787][emoji1787] mbebishe tu kakaHahaha hahaha Dada umenifanya nijipige kifua Mara mbili kumbe nimekuwa kama watu wa pwani kubebisha warembo
Hahaha huwa nakanyaga ila sio sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba wewe mikoani hukanyagi kabisa