Makapuku Forum

Hahahaaa eehh mama siku hizi mambo yao tunawaachia wenyewe

Kadiri miaka inavyozidi kuenda taratibu naanza kupoteza interest kubishana mada za namna ile

Halafu pia nimegundua kuna watu wananichukulia kauzu na mkali kumbe yani wangejua daah
 
Zamani ulikuwa unamfungashia Virago Lizarau.
Siku hizi sijui yuko wapi..

Ndiyo siku hizi nimeona utofauti wako kwenye mambo mengi sana...NIMEPENDA..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…