[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu akiwa na ID mbili zitaunganishwa siku hiyo hiyo..
Hajui kujificha...
Kikuu jamani maswali gani haya unamuuliza mkweo[emoji134][emoji134][emoji134]Babe wako mshaachana ?
KwendraaaaaaAuntie!!!!
Mimi nakupenda tu,[emoji8]
Wewe ndiyo ndugu yangu kabisa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku unanimiss kuja huji nimechoka
Nimeulizaa tu mama mkwe mnonkooKikuu jamani maswali gani haya unamuuliza mkweo[emoji134][emoji134][emoji134]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mie mnoko[emoji848][emoji848][emoji848]Nimeulizaa tu mama mkwe mnonkoo
Binti yangu kachoka kukumiss bwana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiooo ntamsuprizeeeeBinti yangu kachoka kukumiss bwana.
Hahaha hapana majukumu tu yamebanana hatariNdio wamekuachia eeh?
Hahaha hahaha Dada umenifanya nijipige kifua Mara mbili kumbe nimekuwa kama watu wa pwani kubebisha waremboHuyo mrembo sasa anavyobebishwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha huku kwenye keyboard tunachangamsha genge tu ma mkubwa na mara nyingi huwa tuko katika utani tu kuprovoke watu ili tuone watareact vipiKweli Wewe ni mpole sana...
Ila kwenye keyboard.. hapana Dogo..[emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Maksi huyu huyu MD?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukinipa hela unanikuta[emoji1787][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kweli nakuja kama ni dar lakini
Hahaha hongera ila punguza angalau kwa wiki Mara moja sio mbayaAuntie nadhani wewe una afadhali...
Mimi siwezi kukaa siku mbili sijala nyama.. siwezi[emoji2]
Duuh na wewe unapenda shombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi kwangu bila kashombo chakula hakijakamilika
Mmmmh hapana kaa hapahapa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuwapishe kwa muda
Kamanda habar yakoMzima kabisa wewe je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifa narithi magramu.