Makapuku Forum

STUART WILLIAM BAXTER KOCHA MPYA SIMBA?


- CEO wa klabu ya soka ya Simba, Barbra Gonzalez amesafiri nje ya nchi kuonana na Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England UNDER 19, timu ya taifa ya Finland na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini

Barbra na Baxter (wote pichani) wapo kwenye mazungumzo ya kutazama uwezekano wa Muingereza huyo kurithi mikoba ya Pablo Franco ndani ya Simba kama kila kitu kitaenda sawa

Barbra anamuhusudu sana Kocha huyo na inasemekana Kocha nae anavutiwa na Simba, kilichosalia ni kama watafikia makubaliano yao binafsi kwa mujibu wa chanzo changu cha uhakika (ijapo hakuna chochote kilichosainiwa mpaka sasa)

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…