Miss you mno Mdogo wangu..Miss you too dada kumbe ndiyo umejichimbia huku ndiyo maana siku hizi hauonekani
Mimi Browser imenishinda kabisa....Basi mimi huu muonekano wa sasa wa browser naona ndiyo una nafuu kidogo
Siku hizi natumia kote kote maana app nayo ndiyo kama wameisusa
Notifications bado ni janga kubwa mno yani
Ha ha ha...Bado kabisa ndio kwanza 17.5
Pale maeneo flani.. leo ulikuwa unatokea wapi tumepishana chalinze pale
Heshima yako Boss
Ahsante Rafiki....
😀😀😀😀 mie nikupe wewe lift mwenye jeep na mie starlet glanza hutoshi hata kwenye hari napajua wapi 25 mie wakuja mjini badala mnipe ujHa ha ha...
Wewe HM wewe!!!! Ndiyo Umekuja na hiyo mbinu usinipe lift? Utanibeba tu
Nimekuuliza umeshafika 25 Makonde?
Kwa maelezo zaidi muone Hadde
Nitakuombea Mdogo wangu...Na mimi naombeni mnitumie jamani
Vipi murembo ake
Ha ha ha...Mwe kumbe watu mko hadi na magroup humu humu
mie nikupe wewe lift mwenye jeep na mie starlet glanza hutoshi hata kwenye hari napajua wapi 25 mie wakuja mjini badala mnipe uj
Salama Boss wangu...Vipi murembo ake
😙Salama Boss wangu...
Wewe?
Hahaha wazee wa kukariri miandiko wengine mbona hatuwezi jamaniMiss you mno Mdogo wangu..
Unajua kabla sijatambua uwepo wa hii ID nikawa najiuliza huyu Binti yangu yuko wapi?
Siku nimekuja kuona mwandiko wako kwenye nyuzi fulani ndiyo nikakutambua..
Nipo huku Mdogo wangu...Aunty ako Shunie kanificha huku jamani
Aahh yaani mimi browser sikuwahi kuielewa kabisaMimi Browser imenishinda kabisa....
Ila ajabu wakati najoin JF nilikuwa natumia Browser.. na nadhani haikuwa na mambo mengi kama sasa...
Ilivyokuja App tu nikahamia huku.... Browser naweza kumaliza hata miezi na miezi nisiingie...
Kweli kwenye App wametusahau sana.. Notifications tu kipengele..
Amina nitashukuru dadaNitakuombea Mdogo wangu...
Shunie hana shida..
Haha nilimaanisha whatsappHa ha ha...
Siyo humu mdogo wangu... humu si ningekuambia
Ni Duniani huko...