Jeeep moja kale maroon flani hiviajaye huyu
Tajiri nani akushushie maneno bwanaaaaa 😀😀😀
Nijibu kwanza basi...
Nisije kukurupuka.. nikashushiwa Maneno hapa..
Bado sijaiona dada😉😉😉Doh!!!!.. sawa.
He he he....
Wacha hizo wewe....Tajiri nani akushushie maneno bwanaaaaa
Nimepishana na Jeep yako hapa mataaa 😀😀Wacha hizo wewe....
Boss wa Audi
😅😃😅 Ushabikiwa wa mpira mmbayaa, niliapa team yangu isiposhinda ningeachana na ile ID 😀😀He he he....
Wewe!!! Ni nini kimetokea? Hii ID mbona bado inanukia upya.. sasa ile nyingine hutaitumia kabisa?
Mdogo wangu bhana naye ameamua kuja kivingine... yupo anaitwa Hadde mwenyeweKama sijakosea..
Hapana auntie sikuamini hata
Mbona Jeep Auntie...tena na Plate no.ya jina langu...Mweeh..
Hatujafika huko Auntie
Nakufatilia auntie kwa makini sana
Nijibu kwanza basi...
Nisije kukurupuka.. nikashushiwa Maneno hapa..
Auntie hapo juu si unauliziwa weweBado sijaiona dada
He he he....
Wewe!!! Ni nini kimetokea? Hii ID mbona bado inanukia upya.. sasa ile nyingine hutaitumia kabisa?
Mdogo wangu bhana naye ameamua kuja kivingine... yupo anaitwa Hadde mwenyeweKama sijakosea..
Mamaa wa jeep auntie nakusalimiaNimepishana na Jeep yako hapa mataaa
Na nani auntie?Auntie hapo juu si unauliziwa wewe
Shikamoo nyau mkubwa😂😂
Nyau wewe..
Hapo juu auntie nilijua unaitwa wewe King wa mama jeep alivyoulizaNa nani auntie?
Hebu nifafanulie auntie! Mimi naitwa king wa mama jeep?Hapo juu auntie nilijua unaitwa wewe King wa mama jeep alivyouliza