Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hahahahaha
Kwanini kumtag sasa?
Hahahahaha
Kwanini kumtag sasa?
Ndiyo ndiyo.. Kile kipindi...Hahahahaha wa kipindi kilee?
Limeishaa hilo
nipo.nakuonaga unapita sehemu na kusalimia (japo za zamani una like tu) .
Balaa xito Mtu Chake... Wacha nilipe aisee...Hii Aibu imetosha
Habari yako lakini? Za kupotea?
Hahahahahaah bhasiii limeishaa...nilikumis sanaNdiyo ndiyo.. Kile kipindi...
That's my Shem... Waiting..
Hahahahaha








Hahahaah uliandika x huwa hapendiii kuona
Aunty angu Shunie ninavyomjua utasikia tu Chemba huko Auntie ni nini??
Weeeeeewe!!!!nipo.nakuonaga unapita sehemu na kusalimia (japo za zamani una like tu) .

Hahahaah uliandika x huwa hapendiii kuona







Nilikumisa pia Shem lake.. saaaaana..Hahahahahaah bhasiii limeishaa...nilikumis sana
Mtoto mlito yuko wapiiNilikumisa pia Shem lake.. saaaaana..
mby zaidi hy ID ktk database yangu haipo.cjui ulibadili?Weeeeeewe!!!!
Sijaona Mtu chake.. Nisamehe Rafiki..
Itabidi niwe napita huko..huko kwa makini aisee.. nisome kabisa..
Hizi mambo za kuweka like tu siyo poa![]()
He he he.. hili swali lako sitaweza kulijibu ShemMtoto mlito yuko wapii



Nampigia hapokeiiHe he he.. hili swali lako sitaweza kulijibu Shem![]()
Ha ha ha..mby zaidi hy ID ktk database yangu haipo.cjui ulibadili?
Mpe muda atakuchek..Nampigia hapokeii
km umebadili sawa.ila hii siikumbukiHa ha ha..
Kwamba hii ID huikumbuki Mtu chake?
Sema kweli??
Unaikumbuka sana Mtu chake...km umebadili sawa.ila hii siikumbuki


hahahaha happa ndo umenichanganya kbsUnaikumbuka sana Mtu chake...
Labda uniambie umeisahau baada ya kutoka Congo
Nipe offer ya Pork ribs choma - Mibs nije nikielezee hii ID kwa mapana zaidi![]()