Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwamuzi raia wa Rwanda Salima Mukansanga atakuwa mwanamke wa kwanza kutoka barani Afrika kuchezesha fainali za kombe la Dunia nchini Qatar zitazofanyika November mwaka huu.View attachment 2231145
Hawa fifa wangese nini? Sii kuna world cup ya wanawake kwa nini asiende chezesha huko!??? Mbona hamna vidume wanachezesha mechi za kombe la dunia la wanawake? Fifa wanazingua sana sometimes
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa auntie nikumbushe na me tucheke wote usikute swala la kuokoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
Swala la kuokoka tumeshalimaliza Auntie...

Auntie nimekumbuka tu vingi... na unavyosemaga Shunie maji... shunie mma...Najichekea mwenyewe tu[emoji2]
 
Back
Top Bottom