Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Asante timu yangu Furaha yangu kwa kuleta mshambuliajiManchester City imethibitisha kuwa tayari wamefikia makubaliano kimsingi na Borussia Dortmund kwa uhamisho wa mshambuliaji Erling Haaland kuanzia tarehe 1 Julai 2022.
Uhamisho huo unabaki chini ya City kukamilisha masharti na mchezaji huyo.View attachment 2219417
Sijui huyu baby wangu kapotelea wapiAuntie yangu Espy Atoto kiukweli nimekumiss ukuje hata mara moja tu [emoji847]
Asante kaka kwa kutukumbushaWakuu mwaka huu mashambani
Hakueleweki tunzeni chakula sehemu salama
Mashambani kumelala
Mazao yanayo vunwa yameanza kwa bei ya juu kuliko kawaida
Mazao shamban ni machache na yamekosa afya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui huyu baby wangu kapotelea wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu anaweza pinduliwa...duh, mama hatulii !!! Kakaa karibu wiki mbili nje kuzindua filamu, ofisi inaweza kuwa popote zama hizi lakini urais sio wa kufanyia popote
Asante sana binamu yangu....kuvumiliana ni muhimu aunt, ujue nini!? Unafanya kitu kizuri sana kuleta magazeti hapa jukwaani. Endelea hivyo hivyo. Acha Upendo Utamalaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila auntie ujue ubingwa wanaweza kuwa naoAnamkaba Mtoto wa Mtu[emoji2]Akifikiria na Ubingwa Mwaka huu ndiyo basi tena... Anachoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sijaangalia ila niliangalia hiko kipande insta na comments kusoma hukohuko auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie niache.. nimecheka sana ujue..
Ni kile kipande Mama yupo na Peter, Wameshikana mikono wanatembea ndiyo kilinifanya nipate hamasa ya kuangalia...Wabongo hicho kipande wamejua kunichekesha jamani[emoji2][emoji2] Wanakuambia Peter anampeleka Mama yetu Majanini kumfanyaje?[emoji2][emoji2][emoji2]
Ila Huwezi kuamini sijaweza kuangalia yote... Uvivu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binamu umeachiwa na shem wangu makiii au ilikuwa zamu ya cheusiii
Shem lake... Mambo?Shem square
Ubingwa watausikia tu[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila auntie ujue ubingwa wanaweza kuwa nao
Huyo anayemkaba nani eroni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sijaangalia ila niliangalia hiko kipande insta na comments kusoma hukohuko auntie
NashkruAsante kaka kwa kutukumbusha
SawaAsante sana kaka usijali auntie Makiwendo tuma no
KWA MKAPA UNYAMA NI MWINGI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi amini mimi mwenyewe comment za Wana Jamhuri ya Insta ndiyo walinipeleka kuitizama...
Ila naitizama kizembe sana...