Mama tena???Rais Samia anatarajia kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili Uganda kuanzia leo May 10 - May 11 kwa mwaliko wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Hii itakuwa ni ziara ya kwanza ya Kiserikali nchini kufanywa na Rais Samia tangu Serikali ya awamu ya sita iingie madarakani March 2021.
Madhumuni ya ziara ni kudumisha na kuimarisha zaidi historia ya mahusiano na kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizi mbili.View attachment 2219443

Kuna mahali anakaba hadi kivuliAuntie yangu Espy Atoto kiukweli nimekumiss ukuje hata mara moja tu![]()

Salama kabisaaNiko poa sana Shem Lake....
Hofu kwako....
Atakuja na iphone 13Kuna mahali anakaba hadi kivuli![]()
Mama tena???![]()







Hahhahha wapi huko anamkaba nani sasaKuna mahali anakaba hadi kivuli![]()
Auntie nikiona habari za mama ako inanijia picha yako hivi uliangalia royal tour na mama na uncle peter aka baba wa kambo.![]()








Wanakuambia Peter anampeleka Mama yetu Majanini kumfanyaje?



Anamkaba Mtoto wa MtuHahhahha wapi huko anamkaba nani sasa
Akifikiria na Ubingwa Mwaka huu ndiyo basi tena... Anachoka.....kuvumiliana ni muhimu aunt, ujue nini!? Unafanya kitu kizuri sana kuleta magazeti hapa jukwaani. Endelea hivyo hivyo. Acha Upendo UtamalakiJamaniii mkiona sipost kitu au magazeti au sionekani bundle mzozo tuvumiliane tu
....suala hapa ni kutoa hukumu za haki na zinazoonekana kuwa za haki. Kinyume chake utakutana na haya au zaidi. Nakumbusha tu wenye dhamana ya kuamua mamboMkuu wa Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaodaiwa kuchoma moto gari la Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda wilayani humo, Emmanuel Sheiza nyumbani kwake.
Nguvila alitoa agizo hilo jana Mei 9, 2022 alipotembelea eneo la tukio na baadaye kuongea na wanakijiji wa kitongoji cha Nyamilanda na kuelezea masikitiko yake.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo watu wasiofahamika walichoma moto gari la Hakimu huyo ambaye anaishi kwenye nyumba za Mahakama zilizopo jirani na Mahakama ya Mwanzo Nyamilanda.
Mkuu wa Wilaya huyo amesema "Tayari tukio hili la kusikitisha limesharipotiwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na uchunguzi unaendelea ili kuwakamata wahusika wote na hakuna hata mmoja atakayekwepa mkono wa chuma wa sheria"View attachment 2219431
...duh, mama hatulii !!! Kakaa karibu wiki mbili nje kuzindua filamu, ofisi inaweza kuwa popote zama hizi lakini urais sio wa kufanyia popoteRais Samia anatarajia kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili Uganda kuanzia leo May 10 - May 11 kwa mwaliko wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Hii itakuwa ni ziara ya kwanza ya Kiserikali nchini kufanywa na Rais Samia tangu Serikali ya awamu ya sita iingie madarakani March 2021.
Madhumuni ya ziara ni kudumisha na kuimarisha zaidi historia ya mahusiano na kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizi mbili.View attachment 2219443
Binamu umeachiwa na shem wangu makiii au ilikuwa zamu ya cheusiii...duh, mama hatulii !!! Kakaa karibu wiki mbili nje kuzindua filamu, ofisi inaweza kuwa popote zama hizi lakini urais sio wa kufanyia popote
Shem square
Tuma namba nitakuwa nakuunganishia ikiwepoJamaniii mkiona sipost kitu au magazeti au sionekani bundle mzozo tuvumiliane tu