Makapuku Forum

Mama tena???
 

Auntie nikiona habari za mama ako inanijia picha yako hivi uliangalia royal tour na mama na uncle peter aka baba wa kambo.

Auntie niache.. nimecheka sana ujue..

Ni kile kipande Mama yupo na Peter, Wameshikana mikono wanatembea ndiyo kilinifanya nipate hamasa ya kuangalia...Wabongo hicho kipande wamejua kunichekesha jamani
Wanakuambia Peter anampeleka Mama yetu Majanini kumfanyaje?


Ila Huwezi kuamini sijaweza kuangalia yote... Uvivu
 
....suala hapa ni kutoa hukumu za haki na zinazoonekana kuwa za haki. Kinyume chake utakutana na haya au zaidi. Nakumbusha tu wenye dhamana ya kuamua mambo
 
...duh, mama hatulii !!! Kakaa karibu wiki mbili nje kuzindua filamu, ofisi inaweza kuwa popote zama hizi lakini urais sio wa kufanyia popote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…