Salama Shem wangu...Mzimaaa shem
Tuko poa auntie wewe jeeHabari za hapa Wapendwa wangu?
Mko aje hapa?
Auntie sikuwezi
Nami niko poa sana Aunty akeee...Tuko poa auntie wewe jee
Kho kho kho!!!!nimelenga mulemule me na auntie yangu espy acha tubaki na wereva zetu
Weekend ipo vibaya kwangu naenda kuwajibika auntieNami niko poa sana Aunty akeee...
Weekend Inaenda aje?
Kho kho kho!!!!
Auntie ni wewe umeandika hiyo sentensi ya pili?
Ni sawa
Pole Auntie. Unaingia baadaye au upo tayari?Weekend ipo vibaya kwangu naenda kuwajibika auntie
Nasemaje Auntie...ni mimi auntie hivi kwamba hauniamini kabisa
Naingia saa kumi auntiePole Auntie. Unaingia baadaye au upo tayari?
Mwenyewe hapa nasubiria 30 mnts nichek Out....
Nasemaje Auntie...
Kwenye hilo siwezi kukuamini....Niueni
Sawa Auntie...Pole..Naingia saa kumi auntie
auntie naomba uniamini tu ujue sitaniiii kabisa yaani nimeongea ukweli wangu
Nicheke kwanza..Aloooooo...
Auntie ujue mbinguni siyo mbali kihivyo...ila kwa huu uongo wako Wallah sitegemei kukukuta huko( japo na mimi sina Uhakika)
Ulivyo Levels wewe....Wacha ninyamaze kwanza....
Kwenye hilo siwezi kukuamini Auntie...Unajua namaanisha nini..levels ya kuandika tu auntie si unajau nyuma ya keyboard jf wote matajiri kumbe chini ya ground mambo ni tofauti ebu auntie niache bwana we niamini tu
Kwenye hilo siwezi kukuamini Auntie...Unajua namaanisha nini..
Ila Auntie jamani...Humu JF kila mtu ana kila kitu...Pathetic.
Aliniambiaga Rafiki yangu mmoja wa humu...yeye siyo mtu wa kuchangia sana...Hope akipita hapa ataona...Akaniambia Makii....Shukuru kwa maisha yako haya uliyonayo..JF watu wanafake life hadi siyo poa..
Imagine akaniambia story moja ya mtu humu nilishangaa hadi leo bado nashangaa..( Naomba usiniulize ni nani Auntie...Huu Umbea siyo mzuri hata)
Huo Umbea huo Auntie..Ngoja nione namna mwezi utakavyoendahuo umbea auntie lazima uniambie tu hakuna namna kama motoni tunaenda wote
Nakwambia auntie achana na maisha ya jf watu wanafake aiseee na ndio maana wengi wanakwepa kukutana na watu au kujuana ujue wanaona aibu sijui ni vipi yani
Ila auntie we mimi niamini tu.na vile siwezagi fake woiiii acha nipambane na wereva yangu
Njema Shem za weekend naweSalama Shem wangu...
Habari za Weekend?
Mimi niko poa sana Shem...Njema Shem za weekend nawe
Karibu Malawi Shem