Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huo Umbea huo Auntie..Ngoja nione namna mwezi utakavyoenda

Watu tunaogopana sababu ya life tunayoishi siyo yetu...Binafsi katika vitu siwezi ni hicho...

He he he...Narudia watakuamini wengine ika mimi hata uniue..Siwezi
Auntie hakuna cha mwezi unavyoenda wala nini utaniambia tu

Mwenyewe auntie kufake kumenishinda aiseee na ndio maana nikitaka kuonana na mtu au kujuana tunajuana vizuri tu sana na hakuna shida jamani

Auntie niamini bwana kweli ujue sikudanganyi kabisa
 
Screenshot_20220508-044745_OGInsta%2B.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom