[emoji1][emoji1][emoji1] kwakweli, akitokea kutudadavulia uniite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli hiyo habari naitamani sana atokee mtu anunue gazeti atumbie yaliyomo
Sawa kikuu.Yaan baada ya wewe kupata babe nilicancell order...babe wako majukumu yake
Si ndio, huoni linavyompendeza[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi auntie aka ya babe wangu ndio umempa kikuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie sipendi ujue kumuita babe wangu kikuuSawa kikuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie usimfanyie hivyoSi ndio, huoni linavyompendeza[emoji1787]
Ameen auntie Mungu yu pamoja nasiWazeee!!!!
Leo ni ile siku mtoto hatumwi Dukani...
Mungu Ibariki SSC.
Mungu Tubariki Wanachama wa SSC...
Mungu Ibariki Tanzania.
Amen Amen Auntie...Ameen auntie Mungu yu pamoja nasi
Ameen kakaKwa Leo niseme nawatakia mashabiki wote Tanzania kupunguza hasira matokeo yanapo kuwa tofauti
Mungu ibariki Tanzania
Mungu wape upendo mashabiki wa timu zetu
Amen
Kwakweli hata hatujui aunt wafanye vyote sio kuifuta thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weeeee!!!
Umenifanya nipande mlima ujue...
Sasa ni nini kimetokea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe nashangaaAmen Amen Auntie...
Tukishinda nitafurahi jamani...Weuh!!!..
Ila hii mechi mbona mji umepoa hivyo? Utadhani siyo derby bhana[emoji28]