Makapuku Forum

Arsenal wamweka Tammy kwenye bajeti yao
.
Katika harakati za kuboresha safu yao ya ushambuliaji, mabosi wa Arenal wanafanya jitihada za kutosha kuhakikisha wanaipata huduma ya straika wa AS Roma na England, Tammy Abraham, 24, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
.
Hata hivyo, mabosi wa Roma wamewaambia kuwa itawagharimu Pauni 67.7 milioni ili kuipata huduma ya straika huyo baada ya msimu huu kumalizika.
.
Tammy amekuwa katika kiwango bora msimu huu amecheza mechi 46 za michuano yote na kufunga mabao 24. Arsenal mbali ya kumhitaji Abraham pia wanaisaka huduma ya staa wa Man City, Garbiel Jesus.
 
DJUMA: TUNASHINDA JUMAMOSI
.
“Najiamini tutashinda kutokana kikosi chetu kinawachezaji wazuri, unajua mechi hizi za derby mara nyingi hazina mzamana na kunakuwa na matokeo ambayo hayategemewi lakini tunashinda,"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…