Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Africa ni sehemu ya jehamu ukisema ukweliMahakama nchini Morocco imemhukumu Mwanaharakati kifungo cha miaka minne jela baada ya kumchukiza Mfalme Mohammed wa sita kwenye mtandao wa kijamii.
Rabie Al Ablaq amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kumkosoa Mfalme mtandaoni, kesi hiyo ilifunguliwa Aprili 11 baada ya kupost mtandaoni video zinazokosoa tofauti za kijamii na ufisadi nchini humo.
Mwanaharakati na Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 35 pia alipigwa faini ya dirham 20,000 ($2,000).
Human Rights Watch imesema Al Ablaq alitiwa hatiani kutokana na video mbili zilizopostiwa Facebook na YouTube mnamo Septemba na Novemba 2021 ambapo alimzungumzia Mfalme na kulinganisha hali yake binafsi na umaskini ulioenea nchini Morocco.View attachment 2203687
BernardoNani anaatahili kuwa Mchezaji Bora wa Wiki UCL _!!
.
[emoji1201] Bernardo Silva (Man city)
[emoji633] Thiago Alcantara(Liverpool)
.
[emoji1484][emoji1484]View attachment 2203740
Ligi bora hutoa washindani boraMAMELODI MABINGWA MARA 5 MFULULIZO
.
[emoji471] 2017/18 — Mamelodi
[emoji471] 2018/19 — Mamelodi
[emoji471] 2019/20 — Mamelodi
[emoji471] 2020/21 — Mamelodi
[emoji471] 2021/22 — Mamelodi
.
Klabu ya Mamelodi Sundowns imeweka Rekodi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu [emoji1221] kwa mara ya TANO mfululizo. [emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2203743
"Asante kwa magazeti "nani sasa, mbona haina udambwi udambwi, kibuti kikikuhusu ukonde tenaAsante kwa magazeti
Baba wawili jamani tumekumiss sana"Asante kwa magazeti "nani sasa, mbona haina udambwi udambwi, kibuti kikikuhusu ukonde tena
Unataka kusema ligi ya South sio bora Mkuu?Ligi bora hutoa washindani bora
Ligi ukiona mmoja anachuku mfululizo ujue ubora wa ligi ni mdogo sana
Na hilo inakubidi uangalie uwekezaji wa timu pinzan na huyo bingwa
Thanks Shunie, niliwamiss pia.. Nipo naendelea na mfungoBaba wawili jamani tumekumiss sana
Mambo ya Usindusi utafanyeka hapa Auntie[emoji2]( kwa sauti ya Zumaridi)[emoji23]Muonekano wa ndani na nje ya ukumbi wa Simba Hall, AICC, jijini Arusha ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atafanya uzinduzi wa 'The Royal Tour' leo Aprili 28, 2022 kuanzia saa 8:00 mchana.
Uzinduzi huu utahudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Wadau wa Sekta ya Utalii nchini.View attachment 2203666
Kwema rafiki yangu?Mambo ya Usindusi utafanyeka hapa Auntie[emoji2]( kwa sauti ya Zumaridi)[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Asante kwa magazeti "nani sasa, mbona haina udambwi udambwi, kibuti kikikuhusu ukonde tena
Kwema kabisa Rafiki yangu mwema...Kwema rafiki yangu?
NdioUnataka kusema ligi ya South sio bora Mkuu?