Niko vizr kabisaWa afya tele mpenzi, sijui weye?
Alisema bando linamtatizaShunie auntie yangu mlitomlito kwani leo magazeti hayajachapishwa?
Visilalike kwa nini sasa?Sasa mie kucheka ndio roho mbaya jamani!!
Hivi mbona leo hamjatuuliza muamke saa ngapi? Au hata havikulalika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kho!!!Wa afya tele mpenzi, sijui weye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jinyonge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]Alisema bando linamtatiza
Sasa hasira za nini? Kwani Yanga ndio mmecheza nao jana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Visilalike kwa nini sasa?
Ila vyura mna kazi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mlifika wapi wenzetu...
#nguvumoja#
Utakohoa sana mwaka huu[emoji1787]Kho!!!
Na wewe ushabiki wa nini?Sasa hasira za nini? Kwani Yanga ndio mmecheza nao jana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyura FC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]
Ukamuamini?
Mi huwa naamini mtu anacho sema swala la kusema kweli au uongo linabaki la mhusika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]
Ukamuamini?
Mbona watu wa mpira huwa hatuna hasiraNa wewe ushabiki wa nini?
Mchezo wa jana unakuhusu nini?[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe ushabiki wa nini?
Mchezo wa jana unakuhusu nini?[emoji23]
Wamewafanya mbaya jana, mkalala saa2 aloooh!Vyura FC[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya.Mi huwa naamini mtu anacho sema swala la kusema kweli au uongo linabaki la mhusika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona watu wa mpira huwa hatuna hasira
Punguzeni hasira kwenye mpira
Kwahiyo mimi ni mke wa billgate si eti jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]
Ukamuamini?
Ndio kakaAlisema bando linamtatiza
Hatupoi wala hatuboiVisilalike kwa nini sasa?
Ila vyura mna kazi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mlifika wapi wenzetu...
#nguvumoja#