Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mimi huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babe ujue nipo na giza umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe huyo kujishusha
Mimi huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babe ujue nipo na giza umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe huyo kujishusha
Hahahahahaha shem we achaa....sema kuna kupenda usikopendwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaujua ule wimbo wa Mwijuma Muumini Shem..
Unaimba hivi.. kupenda kubaya ×2
Naambulia kibuti...kila ntendalo mie bahati yangu mbaya.. Unaujua?[emoji23]
Mmmmh...hujatuma meter noMimi huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babe ujue nipo na giza umeme
Aunty kauzu sana yule..Hivi aunt ashaanza kumuona kwenye maji?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti shunie akikushindwa nipo hapa nakusubiri ninavyokujua wewe hakuwezi we nakuweza mimi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha nilale tu kesho naamka alfajiri
Akazeeee....na yeye asiwe boyaAunty kauzu sana yule..
Ila taratibu tu.. tutafika..
Nimemwambia Mndali hakuna mkate mgumu mbele ya chai.. Aende naye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kho! Kho! Kho!Mwache mama yetu
Kwa nini Shem wangu?Ngoja likizo yangu imalizike nirud zangu porini maana huku naweza leta ukame baharini
Na wote tuseme Amina[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tushavuka mishale mingi sanaa tulipofikia tuzeeke pamoja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kublockiwa WhatsApp nikaja kwenye text za kawaida acha nijishushe wapiiiii
Ni konyoooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi jamani[emoji114]
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Eti shunie akikushindwa nipo hapa nakusubiri ninavyokujua wewe hakuwezi we nakuweza mimi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha nilale tu kesho naamka alfajiri
Nilijua moto wa mabua 🤣[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Lee.. Maneno machache, ujumbe mwingi..
Mbona akikushindwa[emoji28]
Nimewaza tu kwa herufi kubwaKwa nini Shem wangu?
Hauna majivu siyo? Au ule uwakaji wake?[emoji23]Nilijua moto wa mabua [emoji1787]
Sawa Shem..tupo pamoja..Nimewaza tu kwa herufi kubwa
Ila usjali Shem wangu wa nguvu
Sawa Shem nimekwelewaAunty kauzu sana yule..
Ila taratibu tu.. tutafika..
Nimemwambia Mndali hakuna mkate mgumu mbele ya chai.. Aende naye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vyote kwa pamoja...ukizima huwezi jua kama moto uliwakaHauna majivu siyo? Au ule uwakaji wake?[emoji23]
Boya tena.......Akazeeee....na yeye asiwe boya
Asante ShemSawa Shem..tupo pamoja..
Relax