Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Mndali usiwaze...Mmmmh
Mashemeji zako tuko hapa...Tunakulove sana..
Mndali usiwaze...Mmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mara ya mwisho ukaniblock wewe
Ila kuna raha yake ...si unaona sasa hivi nilimwambia yatamshindaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi mambo sijawahi kuexprience ujue Shem....
Sasa ulikuwa unakutana na hiyo unable si ulikuwa unatukana matusi yote[emoji23]
Hivi aunt ashaanza kumuona kwenye maji?Mndali usiwaze...
Mashemeji zako tuko hapa...Tunakulove sana..
Ahsante Auntie.. nimeona...Auntie maki nimekuwekea weweView attachment 2196933
Mwache mama yetuAhsante Auntie.. nimeona...
Ila huyu Mama yetu jamani[emoji114]
Huku Nchi kamwachia Mpango[emoji23]
Ngoja likizo yangu imalizike nirud zangu porini maana huku naweza leta ukame bahariniMndali usiwaze...
Mashemeji zako tuko hapa...Tunakulove sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tushavuka mishale mingi sanaa tulipofikia tuzeeke pamoja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa hii hawezi tena...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha na hapo nmetoka kuomba sorry na nikachangia chupa ya kijani
Ndio ndioMndali usiwaze...
Mashemeji zako tuko hapa...Tunakulove sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama pilau linatoka mkoa mmoja kuja mwingine naanzaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kublockiwa WhatsApp nikaja kwenye text za kawaida acha nijishushe wapiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio rahisi kulimwa block, Au ni mimi sijaelewa..Unatuma sms ya kawaida make kule sio rahisi kama whatsap
Nimecheka kwa sauti ya juu mnooHivi aunt ashaanza kumuona kwenye maji?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] raha ipi sasaIla kuna raha yake ...si unaona sasa hivi nilimwambia yatamshindaaaa
Na dalili ya kurudi hana kabisaAhsante Auntie.. nimeona...
Ila huyu Mama yetu jamani[emoji114]
Huku Nchi kamwachia Mpango[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaujua ule wimbo wa Mwijuma Muumini Shem..
Unaimba hivi.. kupenda kubaya ×2
Naambulia kibuti...kila ntendalo mie bahati yangu mbaya.. Unaujua?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuna raha yake ...si unaona sasa hivi nilimwambia yatamshindaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣 wewe huyo kujishusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kublockiwa WhatsApp nikaja kwenye text za kawaida acha nijishushe wapiiiii
Eti shunie akikushindwa nipo hapa nakusubiri ninavyokujua wewe hakuwezi we nakuweza mimi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha nilale tu kesho naamka alfajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana Shem...niache tafadhali..