Makapuku Forum

Babu na mjukuu, kiliumana
 
Umri wa vijana wadogo kama Denis Nkane wanaenda Yanga, wanafanya mazoezi na wachezaji wakubwa sana, wanafundishwa na Makocha wakubwa

Wanaishi maisha ya mpira nje ya uwanja, kuanzia maisha (fedha), eneo la utabibu, eneo la vyakula (lishe) na hata kisaikolojia wanaandaliwa vyema kukabiliana na changamoto

Wengi mnaamini mchezaji anajengwa kwa dakika 90 za mchezo pekee, jibu ni Hapana! Mchezaji anatumia muda mwingi nje ya uwanja ndipo ambapo mchezaji anatengenezwa

Dakika 90 ni sehemu ndogo sana kwenye cycle ya Mchezaji, akiwa imara nje hizo 90 atakuwa imara maradufu
 
Kweli kabisa ila mwanamke anae jitambua ndio huzingatia uwezo wa mpenzi wake

Wengi wanasema mwanaume sio ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…