makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Hakuna tabu.. Kiukweli bitoz nyangema hata sijui kahamia mtaa gani, kimya saana.Kuna kipindi watu wengi tuliadimika sababu ya ubize ...ila hapa ni familia ya milele tunarud kama hivi
Shunie kama kawaida mwendo wa kutupa updates na magazeti kila dairy
Nigendako ubize anakuja mara moja moja
Binamu wangu ndugu yako Obe huyu yupo kama hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wageni wanapita mara moja moja
Tumosa kaadimika haswaaa
BITOS ndo sjui nani alimkimbiza
Mndali yupo anakuja akipata mda
Na wengine wengi wapo wanakuja mara moja moja
Wabarikiwe woote ambao wanauendeleza huu mji wa makapuku, wazawa, wageni, wapangaji, wafanyabiashara nakadhalika woote wabarikiwe bila wao huu mtaa ungepotea.