Kwa kweli kila jambo ni fursa mpyaWaganga wamejiongeza[emoji23]
Mkuu popote utakapo mwona sakayo sijui kama jina nimepatiaKuna kipindi watu wengi tuliadimika sababu ya ubize ...ila hapa ni familia ya milele tunarud kama hivi
Shunie kama kawaida mwendo wa kutupa updates na magazeti kila dairy
Nigendako ubize anakuja mara moja moja
Binamu wangu ndugu yako Obe huyu yupo kama hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wageni wanapita mara moja moja
Tumosa kaadimika haswaaa
BITOS ndo sjui nani alimkimbiza
Mndali yupo anakuja akipata mda
Na wengine wengi wapo wanakuja mara moja moja
La kuunganisha nafsi kuwa mojaOmbi gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi nacheka ninii muhenga mieLa kuunganisha nafsi kuwa moja
Najua unaogopa kesi ya miaka ileeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi nacheka ninii muhenga mie
Ebu fanya kunikumbusha kesi ipi hiyo si unajua uzee kumbukumbu zimefutikaNajua unaogopa kesi ya miaka ileeee
Alivyo fika TUMOSA kumbukaEbu fanya kunikumbusha kesi ipi hiyo si unajua uzee kumbukumbu zimefutika
Habar ya kuamkaEbu fanya kunikumbusha kesi ipi hiyo si unajua uzee kumbukumbu zimefutika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikampea shemela shululu na wamepata watoto wao mapachaAlivyo fika TUMOSA kumbuka
Salama kabisa kaka habari ya kwakoHabar ya kuamka
Hahaha hahaha hongera zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikampea shemela shululu na wamepata watoto wao mapacha
Njema tumeamka salama tumewahi kuwajibika na ujenzi wa vitambi vyetuSalama kabisa kaka habari ya kwako
Huyu mdau shululu yupo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikampea shemela shululu na wamepata watoto wao mapacha
tanzania na watanzania kuna shida mahali[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr
Ikatokea tu mfano Simba anatolewa kule Afrika Kusini na Orlando Pirates
Ikatokea tu timu zote nne ambazo zimefuzu kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kutokana na mafanikio ya Simba zote nne zikafanya tu vibaya
Ikatokea kwa mfano zote nne zimetoka raundi ya kwanza, ikatokea Libya wamesogea na Nigeria wakatuzidi alama wakapeleka timu nne sisi tukazidiwa, unaonaje hiyo?
Yani sote tukishakuwa wa hapa hapa, tunapishana humu humu, unahisi kuna uwekezaji wa maana utaendelea kwenye sehemu hakuna faida?
Ziko wapi leo hii Gor Mahia na FC Leopards? Leo hii wapo kwenye ramani ya soka la Afrika? Zipo wapi tambo za Wakenya kwenye michuano ya Afrika? Zipo tena?? Vipi thamani ya ligi yao, ipo tena? Vipi kuhusu mpira wao kwa ujumla?
Mfano tu tukaipiga vita Simba kisha Mungu akaitikia dua zetu, kwahiyo tupo tayari kuwa kama Majirani? Tupo tayari kuona hata Wadhamini wanaoongezeka kisa thamani waondoke? Tunatamani hicho?
Leo hii Real Madrid na Barcelona wamesaini mkataba wa kuungana pamoja kwa kila kinachoitwa maslahi, leo hii PSL (Bodi ya ligi ambao ni mjumuiko wa klabu) pale Afrika Kusini, jambo la Pirates ni jambo la wote
Hakuna cha maana kwenye chuki, mwisho wa siku sote tukibaki hata kicheko kitaisha, hata tambo zitaisha, zitasalia Majuto mengi ambayo ndio Mjukuu
Jitazame tu unayo nafasi yako kwenye mpira wa hii nchi, kama huwezi kwa ajili ya Simba basi fanya kwa ajili ya bendera na nembo ya Visit Tanzania kifuani mwao
Unaweza kuniona Mshamba, unaweza kuniita Mshabiki sana au wa mchongo ukipenda ila hujachelewa sana kuutazama mpira kwa jicho yakinifu
“Dhambi ya ubaguzi haiwezi kuisha ni sawa na kula nyama ya Mtu” Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
View attachment 2193637
Davido ni afadhali kuliko tekno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe si bora ninunue tekino[emoji2297][emoji2297]
Jamhuri ya Muungano wa wadanganyika na zenjibar.Bunge la nchi gani?
Mpaka unamwagika mzee mwenzangu.Mzee mwenzangu unaupiga mwingi.