...acha tu kipenzi yaani huyu ni anko wangu kabisa wala hata sio wa kusingiziwa, ni kaka wa mama kabisa ila ndiyo wa kwanza kuniaharibia. Juzi tumaliza kula tukaenda baa kula mishkaki mhudumu anaitwa Judith akanielewa ila anko akatumia ujomba wake akaondoka naye. Mimi hata aunt sikumwambia sababu sipendi kumuharibia