Shem darling navokupendaa naweza kukushaurii uingie chaka bovu ...hapanaWatu wa Masjala wamekupa file jekundu Uncle ikimaanisha file lako ni Siri ila siri Kuu[emoji28]
Sawa Uncle, mimi nakusikiliza wewe, wewe peke yako tu[emoji28]
Kumtaja shunie na kunisahau mimi sijui unategemea nini?..... tuendelee, hapa nikuambie tu ukweli, mtu pekee ambaye atakupa file la kweli ni aunt yangu Shunie tu, wengine wote watakupa data chefuchefu maana tuna ugomvi nao.
Aunt yangu tu ndiyo hanichukii
...hapa napiga sala zote binamu Nigendako asije maana mtu wa dini yule ataniharibia.Anko mm naanza wapiii kukupondaa...wewe ndo si ndo mjomba na mjomba ni mama ...nilikuwa nakumbushia zile habar za zaman kabla hujakutama na makiiiiiiiiii
Sasa sikia hapa mjomba Nige asijue mapema unamjua
Sorry anko, simu ilijitaipu vibaya ikashindwa kutaja jina lako kwa heshima tu. Hizi simu za Tecno sio za kuamini sana.Kumtaja shunie na kunisahau mimi sijui unategemea nini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....sasa anko twende taratibu, unajua kabisa mpwao ninapataka hapo sasa usiharibu sana.
Huu ni wakati wa wewe kunifagilia, mbona mimi kule kwa yule cheupe wa bank nilikufagilia sana.
Wewe nifagilia nikishindwa ndiyo unipondee kabisa hadi wasijue kama sisi ni ndugu
He he he he........hapa sasa kwa maneno haya unataka kunitia wazimu, yaani maneno matamu hadi nahisi kuwehuka. Maneno yako tu sukari huko kwingine si itakuwa mchanganyiko wa chapati na karanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko mm naanza wapiii kukupondaa...wewe ndo si ndo mjomba na mjomba ni mama ...nilikuwa nakumbushia zile habar za zaman kabla hujakutama na makiiiiiiiiii
Sasa sikia hapa mjomba Nige asijue mapema unamjua
Naaaaaaaaam Shem....Shem darling navokupendaa naweza kukushaurii uingie chaka bovu ...hapana
Anko wangu anakufaaa[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...hapa napiga sala zote binamu Nigendako asije maana mtu wa dini yule ataniharibia.
Unakumbuka alikuharibia kule kwa mama Ashura!? Kama aunt angekuwa na roho nyepesi sasa hivi anko ungekuwa single but not alone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumtaja shunie na kunisahau mimi sijui unategemea nini?
Na mimi nmeshangaaa how comes hunitajiSorry anko, simu ilijitaipu vibaya ikashindwa kutaja jina lako kwa heshima tu. Hizi simu za Tecno sio za kuamini sana.
Unakumbuka ilitaka kukuharibia ulipoenda Arusha ukalala Tanga mjini!?
TayarriiiiiiiHe he he he....
Twende taratibu Uncle...Uzee huo lisije kukupata jambo[emoji28]
Mpaka namuonea wivuuuuuNaaaaaaaaam Shem....
Wacha Uncle aenjoy Jamani[emoji28]kha!!!!
Haswaaaaaa....Mwaka wetu...
Aaaaaaaah!!!! Shem[emoji28]Mpaka namuonea wivuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayarriiiiiii
Tupo hapa Nas [emoji847]