Makapuku Forum

Makapuku Forum

Juzi mchungaji alivyokuwa anafundisha akasema roho Mtakatifu anaumbua.

Mara unajichanganya unakosea madesa[emoji23]
Badala ya kutuma huku unatuma huku.


Umetumute status ili tusione..


Nikasema heri yangu mm najioostiaga tu mipira yangu na meme na Wala simute mtu.
Si umeshuhudia yaliyokukuta muda sio mrefu?🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakina kalumbu mgeni wenu huyo
Screenshot_20220406-213036_Instagram%20Lite.jpg
 
Back
Top Bottom