Makapuku Forum

Makapuku Forum

Juzi mchungaji alivyokuwa anafundisha akasema roho Mtakatifu anaumbua.

Mara unajichanganya unakosea madesa
Badala ya kutuma huku unatuma huku.

Umetumute status ili tusione..

Nikasema heri yangu mm najioostiaga tu mipira yangu na meme na Wala simute mtu.
 
Simba Sports Club

Kwa pamoja tunasema Amen na asante kwa dua na upendo tuliouona kutoka kwa mashabiki wa Simba.
Screenshot_20220406-191000_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tarehe kama ya leo mwaka 2019 tulicheza mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe kwenye uwanja wa Mkapa, Dar.

Mchezo uliisha kwa sare ya bila kufungana. #NguvuMoja
Screenshot_20220406-191208_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kocha wa mabingwa wa nchi, Pablo Franco amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu mwezi Machi #NguvuMoja
Screenshot_20220406-191335_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mchezaji Bora wa Ligi Kuu mwezi Machi ni Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama #NguvuMoja
Screenshot_20220406-191428_Instagram.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
MBEYA KWANZA VIBONDE !!
.
FT: BIASHARA 1-0 MBEYA KWANZA
15’—️ Mafie
.
Mbeya Kwanza wanaendelea kuburuza mkia na sasa Hawajapata ushindi katika Mechi 5 zilizopita::
.

……
Screenshot_20220406-192013_Instagram.jpg
 
ANCELOTTI APONA CORONA
.
Uongozi wa Klabu ya Real Madrid umethibitisha kuwa kocha wao Carlo Ancelotti amefanyiwa vipimo kwa mara nyingine na amebainika kwamba hana Virusi vya Corona, kwa sasa anarejea kwenye timu na ataliongoza benchi la ufundi kwenye mchezo dhidi ya Chelsea leo.
Screenshot_20220406-192125_Instagram.jpg
 
PABLO, CHAMA WATWAA TUZO ZA MWEZI NBC !!
.
Kocha wa Simba, Pablo Franco 'Master' amechaguliwa kocha bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2021/2022 huku kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ‘fundi’ akiwa mchezaji bora wa mwezi huo.
Screenshot_20220406-192305_Instagram.jpg
 
TANZANIA NAFASI 4 CAF !!
.
Kitendo cha Simba kutinga katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeifanya Tanzania kujihakikishia rasmi kwa mara ya pili mfululizo kupata uwakilishi wa timu nne katika mashindano ya klabu msimu ujao.
.
Mafanikio hayo ya Simba yameifanya Tanzania kupanda kwa nafasi mbili katika mfumo wa ukokotoaji wa alama za ushiriki wa mashindano ya kimataifa kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kutoka nafasi ya 12 hadi ya 10.
.
Tanzania imepanda hadi katika nafasi hiyo baada ya kufikisha jumla ya pointi 30.5 na kuzipiku Zambia na Nigeria ambazo awali zilikuwa juu yake pamoja na Libya ambayo nayo imepanda baada ya timu zake mbili, Al Ahli Tripoli na Al Ittihad kufanya vyema katika hatua ya makundi.
.

......……..
Screenshot_20220406-192537_Instagram.jpg
 
DUHH !! ONYANGO OUT
.
Kocha wa Simba, Pablo Franco inabidi aanze kukuna kichwa mapema juu ya kuziba pengo la beki wake wa kati Joash Onyango ambaye atakosekana kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya orlando Pirates unaotarajia kuchezwa Aprili 17 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
.
Kwenye hatua ya robo fainali, Simba ambayo itaanzia nyumbani itamkosa Onyango ambaye ana kadi tatu za njano alizoonyeshwa katika mechi za makundi.
.
Onyango amepata kadi za njano kwenye mechi dhidi ya US Gendermerie 1-1, Berkane 2-0 Simba na Simba 4-0 US Gendermerie.
.
WANASIMBA nani azibe nafasi ya Onyango __!!
.

......……..
Screenshot_20220406-192712_Instagram.jpg
 
Shaffih Dauda

JE SIMBA NI BORA AU LIGI NI BORA? -

THE FIRST PARAMETER - FANS (MASHABIKI)

Jana wakati natoa hoja yangu kuhusu uwakilishi wa Tanzania kwenye soka la kimataifa ngazi ya klabu, nilijibu swali kuwa sio kwamba Ligi yetu ni bora bali Mwakilishi wetu ambaye ni SIMBA yeye ndie bora

Nikaja kwenye argument kuhusu nini kifanyike ili wengine wafike kwa Simba? Kwangu ni kuwa sio mchakato wa muda mfupi, sio mchakato wa kulala na kuamka bali hapa unahitaji ujasiliamali wa muda (Entrepreneurship of time)

Simba walianza kwenye sehemu nane, leo nitawaambia kitu kuhusu MASHABIKI NA WANACHAMA

Hapa kuna vichwa vitatu muhimu, huko nyuma Simba walikuwa na Mashabiki wao ila incorporation ya Mashabiki moja kwa moja karibu na brand yao ilikuwa kazi nzuri ya Bwana @football_senzo , @hashimbaga na @hajismanara

Investment ambayo Simba amefanya kwenye kitengo cha Mashabiki ni bajeti ya klabu nyingi tu nchini, massive investment ili upate matokeo

YEES! Format ya Simba kwa Mashabiki wao ndio ile inayotumika Afrika Kusini kwa klabu kubwa kama Pirates, Amakhosi na Mamelodi Sundowns, kupitia Idara ya Mashabiki na Wanachama with close link na Habari, hichi wamefanikiwa sana

Kuna muda Simba ilimgeuza Shabiki wake kuwa mteja wa klabu, ikaleta Utamaduni wa kununua merchandise, kuifuatilia klabu kwa kila kitu, hii iliiuza bidhaa yao ndio maana wana numbers nzuri kwenye social networks mpaka mauzo ya jezi

Transformation ya Shabiki kuwa Mteja inatengeneza demand kubwa ya timu kupata matokeo na kukimbizana na malengo yake, specifying mfano ni Real Madrid, Barcelona, Chelsea, Bayern na wengine wengi, popular demands ni popular investments with results

Brand yao inazungumzika, inafanya klabu iwe na project imara, leo hii Simba hata ukiwaambia mechi ni saa sita usiku watu watafika uwanjani, leo hii Simba hata utoe jezi tofauti mara nne kwa msimu bado Mashabiki watanunua

Simba ameifanya bidhaa yake iwe hitaji, amevuna sana, hii ndio silaha yake kubwa kuwa na Mchezaji wa 12, tukifanya utafiti miaka miwili ijayo Simba huenda ikawa na Mashabiki wengi zaidi nchini, kwa kutumia kigezo cha POPULATION PYRAMID kwa wingi wa vijana

I rest my case for today, tumeanza 1/8

WHEN DIGALA SPEAKS, YOU LISTEN
Screenshot_20220406-192906_Instagram.jpg
 
WHEN DIGALA SPEAKS, YOU LISTENView attachment 2178208
Word
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom