Ahsante Auntie wangu Mzuri...Pole Auntie jamani kwa kuumwa usiniambia ndio huu ugonjwa ulioningia wa mafua na kifua [emoji8]
Kiazi kazi anayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani Saint Anne kafikiria nini kumpa hilo jina
Yaaaani....Ndio haiwezekani Auntie inauma lakini hakuna jinsi
Pole sana Antie kunywa dawa tengeneza tangawizi na malimao unywe kwa sana utakaa sawaAhsante Auntie wangu Mzuri...
Ndiyo jamani..Haya mafua sijawahi kuumwa mimi aiseee...
Unajua nilivyokuwa naona watu wanaongelea hii kitu nikaona Utani...
Auntie kama jana nilikuwa hoi afadhali leo...Huu Ugonjwa upite tu..
Anne ni mchokozi sana huyo[emoji28]kwamba kiazi...Jamani[emoji28][emoji28]
Ameen Auntie Mungu ni wa wetu sote. [emoji120]Yaaaani....
Anyway!!! Kwani huyu Mungu ni nani Auntie? Atatushindia tu..
Sawa Auntie...Ahsante sana...Pole sana Antie kunywa dawa tengeneza tangawizi na malimao unywe kwa sana utakaa sawa
Anne ni mchokozi sana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji120][emoji120][emoji120]Ameen Auntie Mungu ni wa wetu sote. [emoji120]
Polee shem darlingAhsante Auntie wangu Mzuri...
Ndiyo jamani..Haya mafua sijawahi kuumwa mimi aiseee...
Unajua nilivyokuwa naona watu wanaongelea hii kitu nikaona Utani...
Auntie kama jana nilikuwa hoi afadhali leo...Huu Ugonjwa upite tu..
Anne ni mchokozi sana huyo[emoji28]kwamba kiazi...Jamani[emoji28][emoji28]
Kunywa hivyohivyo yanasaidia sanaSawa Auntie...Ahsante sana...
Jana nimeblend kabisa...Malimao na Tangawizi...nikanywa kama juice[emoji28]Naona ndiyo yamenipa hii nafuu Auntie..
Wewe unaendeleaje lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipumzike kidogo hapa
HS sijui yuko wapi..Ana energy drink yangu[emoji1787][emoji1787]
Beibiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hunie [emoji8]Beibiiii