Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,341
Shem jamani...Unacheka wakat unajua kwa nini alfajiri
Siku ya Bwana leo...Siyo vizuri Ujue[emoji16]
Shem jamani...Unacheka wakat unajua kwa nini alfajiri
Endelea kunywa juice babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😊😊😊😊😊Shem jamani...
Siku ya Bwana leo...Siyo vizuri Ujue[emoji16]
Ndio kichwa hikohiko ninachokijuaNa hiki kichwa unachokijua wewe au kingine
🤣🤣🤣🤣Ndio kichwa hikohiko ninachokijua
Sijamshtukia kwenye hilo Auntie..[emoji23][emoji23][emoji23] Auntie kumbe haumfatilii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfatilie leo sasa ukiona magazeti panda juu yake tena anaongea peke yake binamuSijamshtukia kwenye hilo Auntie..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfatilie leo sasa ukiona magazeti panda juu yake tena anaongea peke yake binamu
Ooh ndio narudi kutoka kwa fulani uncle wangu lee yule muuza bar anakusalimia sana
Jitahidi bana...ata ya Ku kopi 😀😀😀😀We mzee me na mikeka wapi na wapii [emoji23] hata kubet sijui na ninaomba nisijue hivihivi maana hela zangu zitaishia huko
....aunt, umesahau mimi ni mkulima wa korosho!?[emoji23][emoji23][emoji23] Anakuja alfajiri sana yaani binamu huwa simuelewi sijui huwa anatoka wapi
....huyu mjinga kakosa goli la wazi kabisa dakika ya 45 hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii kombolela kiboko
Ankoo ...nakusalimia sana na ujumbe nimeupata uzidi kubarikiwa uwe na wiki njemaTuwe na wiki njema wadau wote wa Jukwaa hili zuri.
Ndugu yenu sijambo na kwa kuwa maisha ni haya haya basi nakutakia wiki njema wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo