Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,359
Hii niliyonayo kwa Ushindi huu naona itachakaa mapema Auntie..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie mpaka leo huna jezi mpya kweliiii
Nifanyie mpango wa kupata nyingine..
Hii niliyonayo kwa Ushindi huu naona itachakaa mapema Auntie..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie mpaka leo huna jezi mpya kweliiii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hafai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio binamu obe
Hebu tulia basi kidogo...Mimi sio kapuku we binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmefurahi hadi mmenikera[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tungefungwa angekuja haraka sana ungemsikia shunie matokeo vipi ya simba
Baelezeee...Baelezeeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani sisi makapuku we mzee jina tu hilo hakuna kapuku humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie upo dar unakosaje jezi me jamani Lee wangu ndio mnunuaji jezi wangu tulivyopeana mapumziko woiii nilitoa elfu 70 kununua jezi mbili ila roho iliniuma sijazoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli elfu 70 jamani nikamkumbuka Lee ghafla angekuwepo hizi shida nisingepataHii niliyonayo kwa Ushindi huu naona itachakaa mapema Auntie..
Nifanyie mpango wa kupata nyingine..
Jina la makapuku linamuogopesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baelezeee...Baelezeeee...
Nasisitiza, mimi sio kapuku. Mmejiita makapuku...mimi huku simo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani sisi makapuku we mzee jina tu hilo hakuna kapuku humu
Hii tabia yako ya kupita kwa kunyata wala siipendi, sijui umekuwaje siku hizi. Na siwapongezi ng'o![emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Karibu Shem...nilikuona mahali jana ukiongea mbovu sana
Nikasema wacha ninyamaze...Muda ni Rafiki mzuri..
Tupongeze basi Shem wangu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie upo dar unakosaje jezi me jamani Lee wangu ndio mnunuaji jezi wangu tulivyopeana mapumziko woiii nilitoa elfu 70 kununua jezi mbili ila roho iliniuma sijazoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli elfu 70 jamani nikamkumbuka Lee ghafla angekuwepo hizi shida nisingepata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jina lisikuogopeshe bwanaNasisitiza, mimi sio kapuku. Mmejiita makapuku...mimi huku simo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uko wapi Shem Darling wangu?Nasisitiza, mimi sio kapuku. Mmejiita makapuku...mimi huku simo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh Auntie shida niliyoipata acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niombee kwa Lee basi Auntie.. Undugu hazina yetu ujue[emoji23]
Eti mlivyopeana mapumziko[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Auntie..
Ili nikupongeze inabidi utupie huo uzi wako, Ila najua hutapendeza, uzi wenyewe umejaa bidhaa za mo sabuni, mo mafuta..mo..kila kitu[emoji23]Hii niliyonayo kwa Ushindi huu naona itachakaa mapema Auntie..
Nifanyie mpango wa kupata nyingine..
Achana naye huyo Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jina lisikuogopeshe bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tabia yako ya kupita kwa kunyata wala siipendi, sijui umekuwaje siku hizi. Na siwapongezi ng'o![emoji23][emoji23]
Hahaha, mpendwa wangu![emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nipo kwingine Ila sio kwa makapuku[emoji23][emoji23]Wewe uko wapi Shem Darling wangu?
BTW..Wewe na huyo mpendwa wako mko aje leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh Auntie shida niliyoipata acha tu
Nimemshtukia auntieAchana naye huyo Auntie...
Watu wa Yanga wako na makasiriko[emoji23]Wewe hujamshtukia?