Hiyo mida ikifika auntie nakuwa teja sijiwezi naona matokeo nitakutana nayo asubuhiYaaaani...Tukiweza tutaangalia kwa TV tu..
Hiyo mida mibovu sana Auntie..
Haahhaha zimefika auntieMsalimie sana Shemeji yangu...
Mwambie nimemmissipo[emoji2]
Wewe ni Mimi kabisa Auntie...Hiyo mida ikifika auntie nakuwa teja sijiwezi naona matokeo nitakutana nayo asubuhi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Haahhaha zimefika auntie
Hahaaha yaani ikifika saa nne sijiwezi kabisa teja huyu hapaWewe ni Mimi kabisa Auntie...
Tena na hivi kesho ndiyo kama vile...Sijui..Ngoja tuone.
[emoji3059][emoji3059] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ila kwenye vyupa tunapambana tu Auntie[emoji2]Hahaaha yaani ikifika saa nne sijiwezi kabisa teja huyu hapa
Tuwekee na mikeka basi jirani wangu wa kijitonyama.FAINALI NI LEO KUNDI D [emoji91]
.
SIMBA [emoji1241] [emoji739] [emoji1183] US GENDERMARIE
[emoji354] 04:00 usiku
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
L
.
BERKNE [emoji1173] [emoji739] [emoji1081] ASEC
[emoji354] 04:00 usiku
[emoji909] Stade Municipal de Berkane.
.
Msimamo Kundi D
1. Asec Mimosas — 9
2. Berkane — 7
3. Simba — 7
4. US Gendermarie - 5
.
Kila la kheri @simbasctanzania [emoji1241]View attachment 2173721
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye vyupa auntie hivi tunawezaje huwa najiuliza sanaIla kwenye vyupa tunapambana tu Auntie[emoji2]
We mzee me na mikeka wapi na wapii [emoji23] hata kubet sijui na ninaomba nisijue hivihivi maana hela zangu zitaishia hukoTuwekee na mikeka basi jirani wangu wa kijitonyama.
Najua babeWoooooooiiiiii....nahesabu mda hapa hauendii nisogee
Niko hapa makiiMsalimie sana Shemeji yangu...
Mwambie nimemmissipo[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We mzee me na mikeka wapi na wapii [emoji23] hata kubet sijui na ninaomba nisijue hivihivi maana hela zangu zitaishia huko
Huwa nawaona watu walionizunguka hela zao zinavyopotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]