Nitaacha akiacha kula vitenge vyangu huyu panya, halafu eti ndio wanataka kunipa aifoni ya kikuu[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza Upambe Ma Mdogo[emoji2]
Nimesahau hata nilikuwa nacheka nini auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie tucheke wote basi [emoji847]
Shell umefunga au upo shift ya mchana?Nipo hapa auntie yangu [emoji847]
Uibepo kidogo uniletee auntie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimecheka kwa sauti nipo shell now nachezea mahela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitaacha akiacha kula vitenge vyangu huyu panya, halafu eti ndio wanataka kunipa aifoni ya kikuu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
We waache tu[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimesahau hata nilikuwa nacheka nini auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shift ya usiku auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shell umefunga au upo shift ya mchana?
Auntie niibe kweli nirudi kuwa jobless hapana auntie nimeshapata kazi acha mwanao nifanye kazi. [emoji23][emoji23][emoji23]Uibepo kidogo uniletee auntie.
Kwenye hao wapiga umbea kama kuna mwanaume basi dunia imefika mwisho![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwezekana uje uweke gram 20 ..kuna watu watatamani wajinyonge.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shangaa wewe anneIkiwezekana uje uweke gram 20 ..kuna watu watatamani wajinyonge.
Huyo mchambaji jamani Anaumizwaje na picha za mtu??
Bina natamani niwajue mwee[emoji1][emoji1][emoji1]kwani kujishongondoa sh.ngapi kaani!!??ht km nalala stoo ndo anidongesheee thathaaa!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Si aweke naye zake kama kabati la handbags ni kitu kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shangaa wewe anne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anne bwanaSi aweke naye zake kama kabati la handbags ni kitu kidogo
Shunie Mmaa[emoji23]umemisika huku Auntie..Naaaam auntie [emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nimefika auntie jamani