[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah wewe uvaage hivyo vyuma chakavu tu, ukivaa hata robo gramu nitapumulia wapi mimi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie we ni nani nisikusilize hivi Indira ghandi kwenyewe anapajua [emoji1787][emoji1787] au basi tuishie hapaAhsante Auntie akee[emoji8][emoji8]Utanipitia huku kwa Bwana Mwajiri[emoji3]
Uswekeni tena[emoji23][emoji23]Auntie basi[emoji2]Mstahi sasa...Tumalize Kwaresma..Akiendelea tena..Nitakuambia cha kufanya..
[emoji23]Na bado...Auntie malipo ni hia hia nakwambia. Unavaa milioni mbili wakati mimi simu nimefunga na "barabendi" [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado...
Kiswaswadu ndiyo kinakufaa wewe...
[emoji39][emoji39]Nakukumbusha mimi mwenzio sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168238
[emoji847][emoji847][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kauli inanitesa jamani, ufunguo wa chumba changu nitakuwa natembea nao kwenye nyonyo.
Story aside, kwahiyo auntie umevaa milioni mbili shingoni eti?
Woooozah!!!!Nakukumbusha mimi mwenzio sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168238
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ubahili wa auntie yangu sijui kama ataweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashangazi mna nini? [emoji23][emoji23]Kwamba Ufunguo unakaa kwenye nyonyo!!!
Ndiyo kama hivyo..Shingoni Auntie anatembea na 2M...Hapo hajakuwekea gharama za kuiosha...Utaweza kweli wewe ninavyokujua..
Auntie akee maki [emoji8][emoji8][emoji8]Woooozah!!!!
Aunty akee nani huyu jamani?
Napajua Vyema Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie we ni nani nisikusilize hivi Indira ghandi kwenyewe anapajua [emoji1787][emoji1787] au basi tuishie hapa
Huyu Bwana huyu[emoji23][emoji23]Basi tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ubahili wa auntie yangu sijui kama ataweza
Naaaaam!!!Auntie akee maki [emoji8][emoji8][emoji8]
Auntie ukouko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilimaanisha huyu wa uswekeni anapajua au basiNapajua Vyema Auntie...
Si kule kama unaenda Kitumbini?AU?
Kuna lile jengo wamejaa wauza hivyo vito tu?Na bei zao siyo haba[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Bwana huyu[emoji23][emoji23]Basi tu...
Nanyamaza Auntie...niliwahi kupewa zawadi hiyo...kila nikikumbuka hapa nacheka...
Nina kazi mimi na huyu ndugu yangu jamani[emoji23]
Sipajui Auntie..Auntie ukouko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilimaanisha huyu wa uswekeni anapajua au basi
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Naaaaam!!!
Just like that[emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shamba ukoo auntieSipajui Auntie..
Ni wapi huko kwanza...Maana hilo jina linachekesha jamani[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shamba ukoo auntie