Shunie mma shunie majiiiiutake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo
Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoniusishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
Take Us slow Auntie!!! Pls...
Eti Shunie mma..Shunie majii
Nimecheka hivyo...
Auntie naomba hata gram moja basi..Nami nitoe hivi vyuma chakavu maskioni
auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao
Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai storewakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii
Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
Auntie jamani...Kwamba shingo Imechafuka
Kwa hiyo Hereni nitapata Aunty Akee?
Wasalimie mama
Auntie kuna mkoba wangu humu ndani siuoni halafu kuna mahali palee nauona. Na cheni yangu ukimaliza kudolishia irudi haraka sana.Shunie mma shunie majiiiiutake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo
Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoniusishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
Auntie kuna mkoba wangu humu ndani siuoni halafu kuna mahali palee nauona. Na cheni yangu ukimaliza kudolishia irudi haraka sana.
Aah wewe uvaage hivyo vyuma chakavu tu, ukivaa hata robo gramu nitapumulia wapi mimi
Take Us slow Auntie!!! Pls...
Eti Shunie mma..Shunie majii
Nimecheka hivyo...
Auntie naomba hata gram moja basi..Nami nitoe hivi vyuma chakavu maskioni
Auntie malipo ni hia hia nakwambia. Unavaa milioni mbili wakati mimi simu nimefunga na "barabendi"auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao
Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai storewakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii
Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
Hii kauli inanitesa jamani, ufunguo wa chumba changu nitakuwa natembea nao kwenye nyonyo.auntie vyako ni vyangu acha nivitumie tu
Aah wewe uvaage hivyo vyuma chakavu tu, ukivaa hata robo gramu nitapumulia wapi mimi
Auntie malipo ni hia hia nakwambia. Unavaa milioni mbili wakati mimi simu nimefunga na "barabendi"
Ahsante Auntie akeeumepata auntie tutaenda Indira ghandiunapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo
Ndioooo auntieHii kauli inanitesa jamani, ufunguo wa chumba changu nitakuwa natembea nao kwenye nyonyo.
Story aside, kwahiyo auntie umevaa milioni mbili shingoni eti?
Auntie kuna mkoba wangu humu ndani siuoni halafu kuna mahali palee nauona. Na cheni yangu ukimaliza kudolishia irudi haraka sana.