Makapuku Forum

Eenh jobless wajinga hawa mimi mwenzenu sitegemei hela ya kupewa na mwanaume
Kweli umekereka mpaka umeandika
.

Sema nini, wapotezee kwanza wanakuogopa. Wangekua wanajiamini wangekuandikia kama hivi. Ushawaongezea cha kujadili PM wakiendelea tena mwaga ubuyu. Daaah Sema zile chat nimeshtuka.

Wanawake huku msipotumia akili mtavurugwa na mtu mmoja wakati nyie mnavurugana mwenzenu anawinda mboga nyingine.

Naomba wasitiri kwa hili maana zile chat ukizileta huku uwiiii. Ila nyie mnaohusika mnajijua. Huyo mwanaume wenu anawavuruga. Ni vile tu sio wajanja kujua tabia za wanaume wasiojiamini.
 
Waendelee tu na mambo zao chart zao nitaziweka wanikome kabisa kunitungia habari zao za uwongo wajinga hawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…