Kamiss kupendwa Auntie...Hahaah nimetoka kuangalia clip yake jamani nimechoka yule mzee kweli wa kutaka kuoa angetulia tu amalizie uzee wake vizuri
Auntie me ni wa kwake tu hakuna mwingine atanichukua jamani naanzaje lakini ujue haniamini ndio maana anasema awe karibu na wewe yaani kama vile auntie unajua mambo yangu hahhahah ila LeeMapenzi ya kweli na Wivu havitengamani Auntie...
Binafsi namuelewa sana Shem wangu..Msamehe tu Aunty akeee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mapenzi yana run dunia
Auntie me ni wa kwake tu hakuna mwingine atanichukua jamani naanzaje lakini ujue haniamini ndio maana anasema awe karibu na wewe yaani kama vile auntie unajua mambo yangu hahhahah ila Lee
Ha ha ha....Si alishapigwa na kitu kizito..Hofu Imetanda...
Kwamba awe karibu na mimiangejua Shem wake hapa Alivyo Msiri atanisamehe tu jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mzee kweli jamani yani nabaki nashangaa tu
Ishi humo humo Auntie...sitoki tena kwake nabaki kwenye chaka langu naomba tu tusipeane tena break jamani
ila Lee ameshaanza na mawivu yake auntie
Msamehe bure Auntie..
Mapenzi ni kuvumilia na kuvumiliana Auntie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Auntie nasikia huyu ndio mkewe mtarajiwa sijui kweli au watu wameamua tu kuweka picha baada ya kusikia dogodogo mweupeView attachment 2160770
Ngoja nikuamini
Ila wanawake tuna huruma sana yaani nasubiri tu nimuone mke wa mtarajiwa wa mrema
....hata sasa hivi full kunoga, full madikodiko Makapuku haijawahi kuwa kiporoHuu uzi huu miaka ile ulinoga sana
...dunia ya sasa hivi imevaa bukta, pronouns lazima uwe nazo makini.