nimefanyaje shangaziWe mzee bwana
hahahaha nilikua sijui,mnajificha sana,ila safi sana mnapendezeaHaahha siku zote ulikuwa haujui we mzee
Unanifurahisha sananimefanyaje shangazi
Hahhaha eti tunajificha sanahahahaha nilikua sijui,mnajificha sana,ila safi sana mnapendezea
dahUnanifurahisha sana
ndio mnajificha!mie nimejua leo.safi sanaHahhaha eti tunajificha sana
Si ndio vizuri we mzee kujificha sio kuwapa watu faida si unajua watu wazima tenandio mnajificha!mie nimejua leo.safi sana
Haha binamu hauishiwi maneno, nipo poa pia binamu, tuwe na wakati mwemaNimeipokea heshima hii uliyonipatia na kwa uzito huo huo sio kama wa zitto nakurudishia maana wewe ni mtu mwema sana