Wifi kwa kuwa upo upande wangu hakuna kitakachoharibikaWifi naona unatetea haki yako
Wa nani tena?
Kwani hakukwambia ??
Muulize atakwambia tu
Hahahaha, mnanifurahisha MABIDADA. sumbai njoo huku uamaue ugomviAu ndio mumeo nini
Mimi zaidi my wiiNakukubali sana wifi yangu
Thnx my wiiMimi zaidi my wii
AsanteeeeThnx my wii
Enjoy your weekend
Nimerelax vya kutosha. Ila msirudie tena.Relax
Hakuna ugomvi hapa
Hahahaa unakumbuka mara ya kwanza unaniambia hivyo?? Ilikua natimiza miaka zaid ya mitatu tangu niache hayo makituUna akili sana ukiacha pombe
Naonaaa... huwa anaamka na wewe kila siku asubuhi hapa, ukija tu na ye kashafika khaa!Yuko poa sanaaaa
Ndio hivyooO oh
Naupenda sana huo msemoHahahaa unakumbuka mara ya kwanza unaniambia hivyo?? Ilikua natimiza miaka zaid ya mitatu tangu niache hayo makitu
Sasa mi nataka kuonja tuNdio hivyoo
Huo msemo ni kama umerusha jiwe gizani asee, unaomuhusu anaweza akajileta mwenyeweNaupenda sana huo msemo

Haya bana, naona couple inatrend sana sa ivi maanza kuwapiku Th Name&lizziebettie