Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe nimecheka sana wakati naandika...
Na huyo Espy Eroni akiona utajua hujui Auntie..Na hivi anapenda zawadi huyo[emoji23][emoji23]Mdogo wangu yule sijui ana nini jamani[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha hivi auntie unajua kama Lee alikuwaga mubabe zamani naona tumeamua tusogezane tena karibu [emoji23][emoji23][emoji23] muulize tu baba wawili atakupa majibu yote me maswali sitaki jamani yaani sitaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimecheka sana sana kwakweli sijui naona kikubwa uhai tu mwenyewe nimejiona nimeshakuwa mchumba wa mtu hata sielewi nimefikaje fikaje kwenye uchumba

Akiona auntie yangu Espy Eroni atadai vitenge halafu mwambie asiniulize maswali sitaki
Lee wa shuny ni mmojaaaa....tokea enzi za queen of sh
......
 
Back
Top Bottom