Jamani nimekumbuka sasa Mungu azidi kukubariki sana sana na ikitokea umekwama usisite kunitafuta mkuu tupo pamoja nakumbuka kuna watu walikuwa wanakuita tapeli nimekumbuka vizuri sanam sio mwandikaji mzuri btw natamani ujue kilichotokea after pale nlinunua karanga nkawa na uza na ndo ukawa mwanzo wa kukutana na watu mbali mbali nkapata wazo la kwenda veta kupitia nlijibana bana nkapata kama 160k nkaja veta na hayo mambo mengne nkamuachia mungu sahv nasubr matokeo mwezi wa 6 inshaalah naenda kumaliza mwaka wa 3 pamoja na kua sina ada naamin kama iliwezekana kujisomesha miaka miwili kwa vibarua vya kulima na kupalilia na saiv ntaweza pia japo kwa sasa hv nna changamoto ya mkono btw naamini everything will be ok yote kwa yote nashkuru pengne 6k uliona ni ndogo btw kwangu ilifumbua macho mungu akujaalie maisha marefu
Mkono ulifanyaje tena pole sana sana Mungu azidi kukuponya urudi kama zamanim sio mwandikaji mzuri btw natamani ujue kilichotokea after pale nlinunua karanga nkawa na uza na ndo ukawa mwanzo wa kukutana na watu mbali mbali nkapata wazo la kwenda veta kupitia nlijibana bana nkapata kama 160k nkaja veta na hayo mambo mengne nkamuachia mungu sahv nasubr matokeo mwezi wa 6 inshaalah naenda kumaliza mwaka wa 3 pamoja na kua sina ada naamin kama iliwezekana kujisomesha miaka miwili kwa vibarua vya kulima na kupalilia na saiv ntaweza pia japo kwa sasa hv nna changamoto ya mkono btw naamini everything will be ok yote kwa yote nashkuru pengne 6k uliona ni ndogo btw kwangu ilifumbua macho mungu akujaalie maisha marefu
Ona tabasamu la ndio[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo.Sio 3 tena [emoji1787][emoji1787] ndio pale unapoona p2 zinagoma haya mambo hayaView attachment 2153807
NdyoooohKweli kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiihHaahhaha kweli
Hahaha tunasemaga p2 fake kumbe siku 5 hazifanyi kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo.
kuna sehemu nlipata kibarua cha kubeba zege bahati mbaya nliteleza kwenye ngazi mkono ukateguka inshaalah ntakua sawa japo ndo mambo yamesimama kdg c unajua ofisi ni miili yetu wenyew ila ntakua sawa inshaalah kuna dawa za kienyej natumiaMkono ulifanyaje tena pole sana sana Mungu azidi kukuponya urudi kama zamani
Pole sana Mungu azidi kukuponya tupo pamoja usijali ukikwama nitafute tukuna sehemu nlipata kibarua cha kubeba zege bahati mbaya nliteleza kwenye ngazi mkono ukateguka inshaalah ntakua sawa japo ndo mambo yamesimama kdg c unajua ofisi ni miili yetu wenyew ila ntakua sawa inshaalah kuna dawa za kienyej natumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona tabasamu la ndio[emoji23][emoji23][emoji23]