Hahahah itakuwa kazoea kupangwa usisahau na hela za jezihahahahahha atapata mbonaa,,au kazoea kupangwa
Auntie...Auntie yangu na wewe nani amekuteka eti Makiwendo
Jamani auntie nimekumiss mimi
Haahah basi naacha auntie
Pole sana auntie ndio ukubwa huoAuntie...
Ni Majukumu yameniteka Mama..
Hii wiki hiiImagine kuwahi kuamka...na uchelewe kulala..Ukubwa unakuja na Mengi Auntie..
Wewe unaendeleaje lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujambo kabisa auntie akee hofu kwako tu
Nakumiss zaidi Auntie..Jamani auntie nimekumiss mimi
Nani alikuteka hivi
Nakumiss zaidi Auntie..
Hiyo Avatar hiyo..Take Us Slow Auntie..Abeggggg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiache jamani...Haahah basi naacha auntie
Ahsante sana Auntie wangu mzuri mzuri..Pole sana auntie ndio ukubwa huo
Mimi sijambo kabisa Auntie..Hatujambo kabisa auntie akee hofu kwako tu
Usiitoe naomba..Ikae hiyo hiyo.Basi naitoa auntie nairudisha ya zamani
Hhaahhaha sawa auntie weka eti inapendezesha uzi auntie bwanaUsiache jamani...
Inapendezesha Uzi Auntie...
Ngoja nikitulia nami naweka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi auntie kukuona
Hahahahah basi auntie siitoi
Hahahah itakuwa kazoea kupangwa usisahau na hela za jezi