Ahsante Dear...Pole na majukumu auntie hilo jambo lililokushtua hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani humu kuna mambo jamani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahahaha natamani aje a some huyu mzee. mtu chake kama namuona kwenye swala la udhamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si unajua vile mtu huna mazoea naye au anaweza tu kukusema ili mradi tu mara paap unakutana na like yake halafu kaitoa kumbe huwa ananifatilia kimyakimya like imemuumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona hatarudia tena au siku nyingine anifatilie tu kwa umakini sanaAhsante Dear...
Mambo humu ni tight kama kifuniko ya Gas Auntie.... Nimechekaaa[emoji23][emoji23]
Akii nimesoma nikashtuka.. Wamekuchokoza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha huyu mzee hana jambo dogo mtu na pesa zake mtu chake uko wapi we mzee lakini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kweli aje.. hana jambo dogo huyo..
Cc mtu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si unajua vile mtu huna mazoea naye au anaweza tu kukusema ili mradi tu mara paap unakutana na like yake halafu kaitoa kumbe huwa ananifatilia kimyakimya like imemuumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona hatarudia tena au siku nyingine anifatilie tu kwa umakini sana
Atakuwa Mibs[emoji2]Anapapenda huyo[emoji28]Hahahahaha huyu mzee hana jambo dogo mtu na pesa zake mtu chake uko wapi we mzee lakini
Hahahahaha nishaachana nayo auntie humu kunachekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuri jamani..Kuna mambo ya ajabu humu...
Anyway, achana nayo Aunty Ake yasikupotezee muda...Next time atapita kwa Uangalifu[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimechela kwa sauti auntie kwani huyu mzee hajarudi Congo porini kwakeAtakuwa Mibs[emoji2]Anapapenda huyo[emoji28]
Hebu aje haraka aiseee...Ikiwezekana Pasaka nawe ukae pale Morocco Auntie..
Hashtag #Hatushindwiiiii#
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahahaha nishaachana nayo auntie humu kunachekesha sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimechela kwa sauti auntie kwani huyu mzee hajarudi Congo porini kwake
Kho kho kho khoTupate tangazo kutoka kwa wadhamini kidogo [emoji847]View attachment 2140169
Uzuri sio selfie, kuna mpigajiTunaendelea kupata tangazo kutoka kwa wadhamini [emoji847][emoji847]View attachment 2140237
Usinikumbushe enzi za Bitozi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uzuri sio selfie, kuna mpigaji
Hahaha bado hajaja[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja aje hapa atupe tamko tujue yupo Mjini au wapi? Simuelewi elewi[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuletee maji etiKho kho kho kho
Hahahha ukimaanisha nimepigwa na mdada wangu wa kaziUzuri sio selfie, kuna mpigaji
Fanta orangee itatoshaaaNikuletee maji eti
Ya baridi eenhFanta orangee itatoshaaa
Woooooooiiiiii sijui niseme ndio sijui niseme sijui ...ila amekaa angle nzurii kwenye kupigaHahahha ukimaanisha nimepigwa na mdada wangu wa kazi