BARBRA: KILA KITU KIKO TAYARI MOROCCO
.
CEO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye tayari yupo nchini Morocco amesema mambo yako sawa ili kuhakikisha timu inaenda kufanya vizuri ugenini.
.
Amefafanua kuwa wamefanya uchunguzi na tayari wamekamilisha suala la usafiri, sehemu ya kufikia na chakula.
“Tuna wachezaji hapa tumewaleta baadhi bado hawajafanya kile tulichotajia ingawa hatujakata tamaa, tukiwa mazoezi wamekuwa na ujasiri mkubwa wa kufanya mambo ambayo utafurahi lakini wakiingia katika mechi sijajua wanaogopa mashabiki wanacheza chini sana.”
Mwakalebela: Top 10 Afrika Tunaingia
.
“Sasa tunataka tuwe katika nafasi 10 bora Afrika, huko chini tumeshavuka. Watanzania bila kujali ushabiki tuendelee kuiombea Yanga ili izidi kufanya vizuri kwa msimu ujao tutaibebe nchi kimataifa na malengo yetu ni kuhakikisha tumeingia katika vilabu 10 Bora Afrika.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.