Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220220-070824_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220220-070840_Opera%20Mini.jpg
 
"Manchester United walifanya kosa kubwa kumrejesha Cristiano Ronaldo na watafanya kosa kubwa zaidi kama wataendelea kubaki nae katika msimu ujao".

Jamie Carragher.
Screenshot_20220221-075623_Instagram.jpg
 
Imeandikwa na @swalehmawele

Pablo ameamua kuufungua mchezo, mfumo wa 4-2-3-1 kama kawaida kitu kimoja tu kwao wameshindwa kutengeneza link up katika final zone, US Gendarmerie ni hatari wanapokuwa na mpira, wanashambulia flanks ( hasa ya kushoto ), Zimbwe JR out of form kabisa, anapitika kirahisi mno.

Ni vyema kama Pablo akitoka katika 4-2-3-1 na kwenda na 4-4-2 ( Diamond ) ili kulifinya eneo la midfied ambalo US Gendarmerie wamelitawala kidogo, lakini pia awe na wide midfieders wawili ambao wanatanua kuziba flanks na mbele awe na watu wawili ambao mmoja ana win aerial balls mwengine azi win second balls kutokana na aina ya uwanja flowing football inaweza kuwa ngumu kidogo.

Screenshot_20220221-080001_Instagram.jpg
 
Imeandikwa na @swalehmawele

Pablo alikifanya kile ambacho nikilizungumza baada ya dakika 45 za kwanza, kwa aina ya uchezaji wa US Gendarmerie ilikuwa ni sahihi zaidi kama atakuja na 4-4-2 na kuachana na 4-2-3-1 ambayo alianza nayo na kweli akafanya hivyo.

Kucheza na 4-4-2 ilisaidia nini? Simba muda mwingi walikuwa wanawalazimisha US Gendarmerie kuutanua uwanja na kuwafanya waache gapes nyingi kwenye midfield ambazo viungo wa Simba walikuwa wakizishambulia.

Walikuwa na wachezaji wawili mbele ambao waliwanyima comfortability walinzi na always ukicheza na wachezaji wa aina hii watakufikirisha zaidi katika kukaba, kongole kwa Simba, point moja ina maana kubwa sana katika uwanja wa ugenini.
Screenshot_20220221-080001_Instagram.jpg
 
Benchi la ufundi la timu ya taifa Cameroon limefanya mawasiliano na Anthony Elanga kwa ajili ya kumshawishi arudi kuitumikia Cameroon katika timu ya taifa.
Screenshot_20220221-080234_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom