Sahii kabisa[emoji4]Diallo na Gueye wamepewa mapokezi jana Parc des Princes baada ya kushinda kombe la AFCON, ikiwa hivyo pia kwa Sarr wa Bayern Munich na Mendy wa Chelsea
Bado tunasubiri Sadio Mane kwa LiverpoolView attachment 2117081
Ebu niambie maswali gani hayo DeepAisee,
Iyo picha Sasa nna maswal nayo mengi[emoji4]
Ukitafsiri vingivyo shaur zako[emoji1787]Eenh kuendana tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I need space huru ya kuyauliza[emoji4]Ebu niambie maswali gani hayo Deep
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] EenhI need space huru ya kuyauliza[emoji4]
Hahahaha sipo huko hataUkitafsiri vingivyo shaur zako[emoji1787]
Ha ha ha....Hahahaha sipo huko hata
Hahhaha wala sijishtukiiHa ha ha....
Unajistukia eeh?[emoji4]
Hivi nikikwambia Jana usiku mpk saa 4 kasoro nilikua Apo GP utaamini au hutaamini[emoji4]Hahahaha sipo huko hata
Mmh sema kweli na niliondoka saa nne na nusu kuelekea samaki samaki masakiHivi nikikwambia Jana usiku mpk saa 4 kasoro nilikua Apo GP utaamini au hutaamini[emoji4]
Hapana mtotomlito, na vingi vya kuongea, kuna muda naona niviwakilishe kwa likes tuBaba wawili Nigendako siku hizi umekuwa mkwepu jr unalikes tu huongei kitu eenh
Am very Serious [emoji4]Mmh sema kweli na niliondoka saa nne na nusu kuelekea samaki samaki masaki
niliondoka saa nne na nusu kuelekea samaki samaki masaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani zaidi ya utoto nilibebwa jana nilikuwa sina jinsi tuSamak samaki niliacha kwenda uko, labda niwe na familia.
utoto utoto mwingi kule afu chawa chawa kibao wanajaza meza TU MDA bills wanakimbia[emoji4]
Basi usikute tulionana ndio kutokujuana nilienjoy na live band ya paleAm very Serious [emoji4]
Tena tangu saa 2 na robo hivi
Ooh nimekuelewa baba wawiliHapana mtotomlito, na vingi vya kuongea, kuna muda naona niviwakilishe kwa likes tu
Yaan palinishinda pale, Kuna vijana wa vyuoni hovyo hovyo mikele MDA wote, afu wanamwagiana mipombe bila ustaarabu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani zaidi ya utoto nilibebwa jana nilikuwa sina jinsi tu
Yah! Kutokujuana Ni changamoto Sana mkuu[emoji4]Basi usikute tulionana ndio kutokujuana nilienjoy na live band ya pale
Hahahah kweli kabisaYah! Kutokujuana Ni changamoto Sana mkuu[emoji4]
Unaeza mpita mtu unaechat nae Kila mara