Makapuku Forum

Makapuku Forum

Halafu me mwenzenu napenda vitu vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani nikipenda kitu hela ninayo nanunua tu sijali chochote sio mpaka nisubiri ninunuliwe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivyo yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani huyu ni mimi yaani utajitahidi unielewe ila hautanielewa kamwe na hayo ndio maisha yangu ninayopenda kuishi sipendi kueleweka kabisa
Screenshot_20220209-212214_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom