Makapuku Forum

Makapuku Forum

Halafu Bitoz kwanini hamkuwanunua Esperanca game ipigwe national stadium kama mlivyofanya kwa Ndanda
be4f45e4ddc3d8c46a0b9ae1acc1cc94.jpg

Because hatuhitaji wasimamisha mikia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
 
Jamani tusaidianeni kidogo hapa. Ni Namna gani ni nzuri ambazo unaweza kuzitumia kumuuliza rafiki yako kama ataweza kukupenda siku za usoni {je utanipenda?} na mkawa wapendanao wa ukweli kabisaa.?

NB:Namna ninazomaanisha hapa ni zile za kimbinu zaidi(kimombo:tactical)


Namaanisha, karibuni kwa michango kwa lugha zote.
Jimena my, Ile lugha ya malkia si unaiweza ???

Msaidie huyu ndugu mistar ya kumsomesha rafiki yake
 
Back
Top Bottom