amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Wali WA shughuri ni mtamu balaaaJirani anamuoza binti yake usiku huu nimetoka kupiga mpunga kitu wali machafu na wali wa maji kachumbari kwa mbali nyama za hapa na pale. Ni balaa
Wali WA shughuri ni mtamu balaaaJirani anamuoza binti yake usiku huu nimetoka kupiga mpunga kitu wali machafu na wali wa maji kachumbari kwa mbali nyama za hapa na pale. Ni balaa
Hapa napumulia juu juu kama nimekabwa shingo na kibaka. Soda utanunua mwenyewe hii.Wali WA shughuri ni mtamu balaaa
Hahaaa [emoji23] [emoji23]Hapa napumulia juu juu kama nimekabwa shingo na kibaka. Soda utanunua mwenyewe hii.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] na pili pili kabisaHahaaa [emoji23] [emoji23]
Wenyewe wanasema "ubwabwa WA kuzamia, unaenda na [emoji529] mfukoni[emoji23] [emoji23]
Hapa napumulia juu juu kama nimekabwa shingo na kibaka. Soda utanunua mwenyewe hii.
Hahaaa [emoji23] [emoji23]
Wenyewe wanasema "ubwabwa WA kuzamia, unaenda na [emoji529] mfukoni[emoji23] [emoji23]
Noumaaa sanaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] na pili pili kabisa
Kuna binti ameolewa mda huu sasa nimetoka kupiga mpunga. Nimeshiba sanaMkuu huko kukabwa vepee tena?
[emoji23] [emoji23]Ni kweli ubwabwa wa kuzamia ni mtamu hataree
Jirani anamuoza binti yake usiku huu nimetoka kupiga mpunga kitu wali machafu na wali wa maji kachumbari kwa mbali nyama za hapa na pale. Ni balaa
Wali WA shughuri ni mtamu balaaa
Kazamia shughuri huyo,Mkuu huko kukabwa vepee tena?
Ninao makid 9
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..........
Habari za usiku wapendwaa.....
Mnaendeleaje
Natafuta angalau soda aiseeHahaahhhaaaha pita kwa mangi upate maji ya kandoro, usingizi mnono balaaa
Jirani anamuoza binti yake usiku huu nimetoka kupiga mpunga kitu wali machafu na wali wa maji kachumbari kwa mbali nyama za hapa na pale. Ni balaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......,.