Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwali wetu amefika jijini 𝐃𝐒𝐌
Screenshot_20220114-154231_Instagram.jpg
Screenshot_20220114-154307_Instagram.jpg
Screenshot_20220114-154328_Instagram.jpg
Screenshot_20220114-154349_Instagram.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220114-154307_Instagram.jpg
    Screenshot_20220114-154307_Instagram.jpg
    79.6 KB · Views: 11
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

[emoji3490]CLATOUS CHAMA, EXTRA DETAILS

[emoji599]Watoto tayari wameandikishwa kwenye shule Moja ya kimataifa Jijini Dar Es Salaam, kwakuwa Chama anataka kukaa nao mwenyewe watoto wake

[emoji599]Mwishoni mwa mwezi December alikamilisha utaratibu wa form na vitu vingine vingi vya msingi, hivyo watoto watakuwa hapa Dar Es Salaam kwa masomo

[emoji599]Makazi mazuri pia Jijini Dar Es Salaam kwakuwa pale alipokuwa anakaa awali maeneo ya Mikocheni hivi sasa amepanga Mbunge mmoja Mkubwa

[emoji599]Rafiki yake wa karibu alikuwepo nchini mwezi mzima kufuatilia Makazi mazuri ya kuendana nao na hatimae wameshapata panapofaa

[emoji599]Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na maisha Berkane ilikuwa pia watoto wake kukaa nao mbali hakuwa tayari

[emoji599]Berkane walitaka kwenda kumpa Makazi Jijini Casablanca ambapo ilikuwa mwendo wa Masaa sita kutoka Berkane mpaka Casablanca hivyo bado aliona Kuna umbali Mkubwa

[emoji599]Berkane walifanya Kila kitu kumbakisha Triple C ila haikuwezekana na mara zote aliomba kuondoka na Simba ndio ilikuwa jibu lake

[emoji419]Kwa wanaoamini Chama ameisha basi mkumbuke kuwa mechi ya mwisho alikuwa Man of the match na kiwango bora sana ikiwa ni muda mchache baada ya kutoka kwenye majeraha
Screenshot_20220114-175932_Instagram.jpg
 
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

SIMON MSUVA UPDATES[emoji599]

[emoji3490]Kwanza kabisa ni kweli Simon Msuva yupo nchini Tanzania na hajarejea nchini Morocco ambapo timu imeshaanza mazoezi tangu January 5, huko Agadir, Morocco

[emoji3490]Waandishi kadhaa kutoka nchini Morocco na vyanzo vyangu kutoka Casablanca vinadai kuwa Kuna shida ya kimaslahi kati ya Msuva na Wydad

[emoji3490]Timu nyingi za Kiarabu Kuna utata kuhusu signing fee, Inasemekana Msuva licha ya kulipwa mshahara na marupurupu ila changamoto ni kuwa hawajamaliza signing fee yake

[emoji3490] Kutokana na mvutano huo Msuva amegomea kurejea nchini Morocco mpaka pale jambo lao litakapokuwa sawa bin sawia Kabisa

[emoji3490]Swali la kwanza kwa chanzo changu, je Msuva anaweza kuachana na Wydad na akarejea Tanzania? Jibu ni kuwa Hilo linawezekana ila kwa njia tatu kubwa

[emoji3490]Ya kwanza ni Msuva kusaini timu yoyote Tanzania huku sakata lake likiendelea, hii ni kama Chama alivyosaini Simba akitokea Dynamos au Kichuya na ile klabu ya Misri, unaicheza karata ya hatari

[emoji3490]Ya pili ni Msuva kukaa chini sasa na Wydad kisha kuvunja rasmi mkataba kwa makubaliano (mutual agreement) kama Chama na Berkane kisha akarejea nchini kucheza

[emoji3490] Ya tatu, ni Msuva kwenda FIFA kudai haki yake, ijapo hii njia ni ngumu na huchukua muda, kama ilivyomtokea Shabaan Chilunda ikamlazimu akae nusu msimu bila kucheza na hawaoni Msuva akipita njia jii

[emoji3490]Nikauliza Msuva ikitokea anasaini anaenda Simba au Yanga? Jibu ni kuwa wao wanatazama maslahi zaidi, klabu yoyote yenye maslahi mazuri itapewa nafasi, ila mpaka sasa focus ya Msuva ni kupata pesa yake na kurejea kucheza Wydad au sivyo arejee nchini

[emoji419]Msuva sio kama anashinikiza kuondoka Morocco bali anashinikiza malipo yake anayodai

Lolote linaweza kutokea kwa muda wowote kuanzia sasa, what a busy January

That's it for now

Screenshot_20220114-202629_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom