Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mnyamaaaaaaa
Screenshot_20220114-112310_Instagram.jpg
 
Farhan Jr

MOSES PHIRI TRANSFER DEAL

- Kama nilivyiripoti awali kuhusu Moses Phiri wa Zambia, ni kuwa Simba tayari wameingia nae makubaliano ya awali ( Pre contract) Ili ajiunge nao mwishoni mwa msimu

- Kwanini Simba walisaini nae makubaliano na kumuacha Zambia? Well ni kuwa Bench na Viongozi wanaamini kikosi kilochopo kinaweza kupambania ubingwa na FA

- Kibiashara wanaona ni hasara kuwa na Clatous Chama na Moses Phiri wote hawachezi Confederation Cup, huku wakiwatumia kwenye NPL na FA pekee

- Hivyo wamecheza nusu kumpa mkataba wa awali Phiri Ili next season aje kucheza michuano yote wakati Chama anaingia katikati ya msimu huu

-Nimejaribu kuuliza kama Mchezaji ana pre contract Kuna uwezekano akabadili maamuzi? Watalaam wa Biashara ya mpira wameniambia inawezekana kama amepokea Ofa kubwa zaidi, pre contract sio contract kamili

- Nikajaribu kuuliza vyanzo kadhaa nchini Zambia kama Phiri anaweza kujiunga Yanga? Kati ya watatu, wawili wamesema Phiri safari yake ni Simba na hawaoni akienda Yanga huku Mmoja akiacha 50/50

- Lakini Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya awali ninavyoamini ni kuwa akili ya Moses Phiri ni kujiunga na Simba mwishoni mwa msimu na muda wote ilikuwa YES kwa Simba huku Wazambia wenzake wakichagiza

- Nilichukua muda kupost tena hii taarifa kwakuwa vyanzo vyangu nao walikuwa wanajiridhisha kuhusu issue ya Yanga kama Ina ukweli, ila wamesema HAIPO

Screenshot_20220114-113435_Instagram.jpg
Screenshot_20220114-113459_Instagram.jpg
Screenshot_20220114-113519_Instagram.jpg
 
SIMBA WATASIMAMISHA NCHI LEO
.
Habari ndo hiyo. Simba wanamshusha jijini Dar es Salaam Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama ambaye ni staa wao wa zamani waliyemuuza RS Berkane ya Morocco.
.
Chama mwenyewe ameshawaambia marafiki zake ambao ni wachezaji ndani ya Simba kwamba leo atakuwa mjini hapa akitokea Ndola, Zambia na kwamba ukurasa wake wa kazi na Berkane umefungwa rasmi kaamua kurejea nyumbani.
.
Vigogo wa Simba wakiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez wamethibitisha kwamba kuna kishindo kinakuja na mji utatulia tuli.
.
Wananchi mnasemaje kuna kupona akirejea TRIPLE C ____!!
Screenshot_20220114-114424_Instagram.jpg
 
Shaffih Dauda

Vijana wadogo huyo alieweka mikono mbele kwa unyenyekevu ni Sadio Mane, mshindi wa EPL na UEFA hapo akiwa na timu ya taifa akimsikiliza Mwalimu wake Aliou Cisse

Ujumbe kwa Vijana wadogo, mkipata followers wachache, Umaarufu kidogo na mafanikio kidogo tu tayari mnaota mbawa, mtumieni Sadio Mane kama mfano

Mafanikio yasipoteza utu au heshima yako, Mungu huwapa rizk wale wanyenyekevu na wenye kutii

When DIGALA speaks____
Screenshot_20220114-114658_Instagram.jpg
 
TETESI ZA USAJILI

Jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 3 wakati Camera zetu zikiwa zinangoja ujio wa Wachezaji Maarufu kutua akiwemo CHAMA tuliweza kumsutukia Mzee wa Msituni Crescentus Magori akiwa anatokomea ndani kusafiri nje ya nchi.

Katika Mbao za matangazo ya Safari muda huo wa asubuhi saa 3 hivi zilikuwa zinasomeka Ndege zinazokwenda Ndola, Nairobi, Lubumbashi na Doha Sasa hatukuweza kujua hii ni Safari Binafsi au ndio Kazi za kukamilisha dili la mwamba wa zambia?
Screenshot_20220114-115253_Instagram%20Lite.jpg
 
Kaimu Mtendaji mkuu wa Yanga Senzo Mbatha amethitibitisha kuwa kuna usajili mkubwa ambao anaukamilisha na muda wowote Klabu itamtangaza Mchezaji huyo

Senzo amesisitiza ni mchezaji mkubwa na watanzania watastuka
Screenshot_20220114-115528_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom