Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Happy new year to you too dear [emoji8]This is Simba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Happy New year Shunie...
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy new year to you too dear [emoji8]This is Simba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Happy New year Shunie...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Happy new year to you too dear [emoji8]
Karibu sana dear tusubiri kumpokea chama
[emoji3060][emoji3060]
Hayawi hayawi sasa yamekuwaClub ya Simba imetangaza kurejea tena kikosini kwa Kiungo Mshambuliaji kutoka Zambia Clatous Chama akitokea RS Berkane ya Morocco alikokwenda huko miezi mitano iliyopita.
alijiunga na Simba mwaka 2018 na kuondoka mwaka 2021 kabla ya kurejea Simba na kutambulishwa rasmi leo ambapo bango kubwa lililotolewa na Simba likiwa na picha ya Chama linasomeka “Karibu nyumbani, Welcome home”
Chama aliondoka Simba SC August 13 2021 na kujiunga na Club ya RS Berkane ya Morocco na sasa anarejea baada ya kudaiwa kushindwa kuzoea mazingira nchini Morocco.View attachment 2080746
Ahsante Dear..Karibu sana dear tusubiri kumpokea chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyieeee leo kama kuna shabiki wa yanga humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asipite tu leo ni habari za simba na chama tu mengineyo ni kesho
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyieeee leo kama kuna shabiki wa yanga humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asipite tu leo ni habari za simba na chama tu mengineyo ni kesho
Kwetu rahaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwaka huu mashabiki wa simba tunanenepa tuAhsante Dear..
Naona mwamba ameshawasili... Kwetu raha jamani..[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli wasubirie kesho tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sanaKwakweli wasubirie kesho tu